Tanesco inapaswa kujivua gamba
Mwishoni mwa wiki iliyopita, wezi walivamia na kuiba nyaya katika kituo cha kusambazia umeme cha Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Ubungo, Dar es Salaam hivyo kuathiri huduma ya umeme katika sehemu kubwa ya jiji hilo kwa takriban siku tatu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo16 Oct
Diwani- DC Gamba aliinita sisimizi
SHAHIDI wa pili katika shauri linalomkabili Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gamba mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, diwani wa Kata ya Mndolwa wilaya ya Korogwe, Hillary Ngonyani ambaye aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo amedai DC huyo aliwahi kumwita `sisimizi’ wakiwa katika vikao vya halmashauri.
10 years ago
Tanzania Daima13 Nov
Meneja wa Sitta avua gamba Urambo
BARAZA la Vijana Taifa la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), limeibomoa ngome ya Mbunge wa Urambo Mashariki mkoani Tabora, Samuel Sitta, baada ya kuzoa wanachama wapya zaidi ya 200,...
9 years ago
Mwananchi10 Sep
MJASIRIAMALI : Biashara yoyote inapaswa kuwa na maadili
10 years ago
Raia Tanzania15 Jul
Kwa rasilimali ilizonazo, Tanzania inapaswa kuongoza katika AGOA
RAIS Barak Obama, tangu ameingia madarakani, amekuwa akisisitiza mtazamo na sera yake kuhusu Afrika ni ‘Biashara badala ya misaada’.
Kutokana na msimamo huo amekuwa akiwaeleza viongozi wa bara hili, kila alipokutana nao, kuwa nchi za Kiafrika haziwezi kuendelea kwa kutegemea misaada kutoka mataifa tajiri kama vile Marekani, hata kama misaada hiyo ni mikubwa kiasi gani.
Mara nyingi ameziasa nchi hizi kuacha kutegemea misaada kama msingi wa maendeleo, badala yake zitumie rasilimali...
10 years ago
Michuzijamii inapaswa kuwekeza katika sayansi na teknolojia - Balozi Sefue
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema kuwa ili jamii iweze kukua kwa kasi na kupata maendeleo haina budi kuwekeza katika sayansi na teknolojia.
Aliongea hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa warsha ya kupitia marejeo ya mfumo wa Taifa wa sayansi,teknolojia na ubunifu ulioandaliwa na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.
“ubunifu katika sayansi na teknolojia ni kitu muhimu katika kupata uvumbuzi wa vitu mbalimbali muhimu vinavyoleta maendelao...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Pg8rDIIRsKw/VaWHy7p_HmI/AAAAAAAHpys/V3fb-xTtKVc/s72-c/unnamed%2B%25282%2529.jpg)
mtangazaji mahiri wa ITV na Radio One Isaack Muyenzwa Gamba ahamia DW Ujerumani
![](http://1.bp.blogspot.com/-Pg8rDIIRsKw/VaWHy7p_HmI/AAAAAAAHpys/V3fb-xTtKVc/s640/unnamed%2B%25282%2529.jpg)
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Wasomi wataka CCM ijihoji Kingunge kujivua uanachama
9 years ago
Vijimambo14 Oct
BALOZI JUMA MWAPACHU KUJIVUA RASMI UANACHAMA CCM KESHO
![](https://pbs.twimg.com/profile_images/486463319893499904/q7fom1nR.jpeg)
Kesho ni siku muhimu katika kalenda ya Taifa letu. Tunamkumbuka marehemu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyetutoka miaka 16 iliyopita. Nadhani ni siku mwafaka kwangu kufanya maamuzi magumu katika maisha yangu ambayo yanahusu uanasiasa wangu. Mimi ni mwanachama wa CCM tangu mwaka 1967 wakati nilipojiunga na TANU Youth League. Nimepata fursa ya kuwa kiongozi ndani ya Chama hiki. Lakini kuanzia kesho mimi si mwanachama wa CCM tena. Natoa...