Diwani awapa tuzo wadau wa maendeleo
DIWANI wa Mngeta Felisian Kigawa (CHADEMA) amempa Tuzo ya uongozi uliotukuka Mkuu wa Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro, Hassan Masala kwa usimamizi bora ulioharakisha maendeleo ya kata. Pamoja na Masala,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMFUKO WA MAENDELEO YA JAMII TASAF WAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO JIJINI DSM
10 years ago
MichuziMfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF wakutana na wadau wa Maendeleo jijini DSM kufanya Mapitio ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini PSSN.
10 years ago
Habarileo20 Mar
Mkapa awapa viongozi Afrika siri ya maendeleo
VIONGOZI wa Afrika wametakiwa kubuni mikakati itakayowawezesha wananchi wote kushiriki katika shughuli za kimaendeleo.
11 years ago
Dewji Blog22 May
Mbunge na Diwani Chadema wakwamisha maendeleo jimboni kwa miaka minne
![13](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/135.jpg)
Ujenzi wa Shule ya Msingi Unyaghumpi ukiendelea katika Jimbo la Singida Mashariki la Mbunge Tundu Lissu,ambaye anadaiwa kuwakataza wananchi kuchangia fedha za kujengea vyumba vya madarasa katika shule hiyo.
Mmoja wa Viongozi wa CCM, Wilaya akimpatia tofari Kinana walipokuwa wakisaidia ujenzi wa Shule ya Msingi Unyaghumpi, katika Jimbo la Singida Mashariki la Mbunge Tundu Lissu. Mbunge huyo anadaiwa kuwakataza wananchi kuchangia fedha za kujengea vyumba vya madarasa katika shule hiyo....
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-hOKi-FQSmwU/U3zaMvn0ZwI/AAAAAAAChws/MjPoiFMF3MY/s72-c/18.jpg)
MBUNGE NA DIWANI CHADEMA WALALAMIKIWA NA WANANCHI KUKWAMISHA MAENDELEO YA JIMBO KWA MIAKA MINNE
![](http://4.bp.blogspot.com/-hOKi-FQSmwU/U3zaMvn0ZwI/AAAAAAAChws/MjPoiFMF3MY/s1600/18.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-aszbhOVnx0U/U3zaYV8IC-I/AAAAAAAChxE/OR0mXuXIf2g/s1600/20.jpg)
11 years ago
Michuzi09 Jul
DIWANI WA TLP LUPINGU ASEMA YEYE SI MPINZANI ,AMFAGILIA MBUNGE FILIKUNJOMBE KWA KASI YA MAENDELEO
Na Francis Godwin Blog.
DIWANI wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kata ya Lupingu wilaya ya Ludewa mkoani Njombe John Kiowi amempongeza mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe kwa jitihada zake anazozifanya katika kuwapelekea maendeleo wananchi wa Ludewa huku akiwashangaa wapinzani wanaopinga jitihada mbali mbali zinazofanywa na serikali ya chama cha Mapinduzi (CCM) na kudai kuwa yeye si mpinzani wa uchwara wa kupinga maendeleo .
Akizungumza na...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-3-taND1wp48/VVNBQj5nz5I/AAAAAAAC4Vw/mZL5M2gHCkQ/s72-c/New%2BPicture%2B(1).png)
TASAF, Wadau wa maendeleo wafanya tathmini
Zifuatazo ni picha zikionyesha wadau hao wa maendeleo na watendaji wa TASAF wakiwa katika kikao cha kupokea taarifa ya utekelezaji iliyowasilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga katika ukumbi wa mikutani wa Makao makuu ya mfuko huo jijini Dar es Salaam.
![](http://2.bp.blogspot.com/-3-taND1wp48/VVNBQj5nz5I/AAAAAAAC4Vw/mZL5M2gHCkQ/s640/New%2BPicture%2B(1).png)
10 years ago
Dewji Blog27 Feb
Wadau wa maendeleo wafurahsihwa na shughuli za miradi Iringa
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akiangalia ubora wa majani ya chai kwenye kiwanda cha Unilever walipofanya ziara ya kutembelea kiwanda hicho.
Na Mwandishi wetu, Iringa
UJUMBE mzito wa washirika katika maendeleo ya Tanzania jana umetembelea mkoa wa Iringa na kuona shughuli za viwanda vya Sao Hill Industries Limited na Unilever Lugoda vilivyopo wilaya ya Mufindi mkoani hapa.
Ujumbe huo ulijionea shughuli...
10 years ago
MichuziTASAF NA WADAU WA MAENDELEO WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM.
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF na wadau wa Maendeleo kutoka ndani na nje ya nchi wameanza Mkutano wa kupitia mafanikio na changamoto za utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya maskini,PSSN unaoratibiwa na Mfuko huo nchini.
Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango huo unaowahusisha wataalamu mbalimbali kutoka Taasisi za Fedha na mashirika ya misaada ya kimataifa utawawezesha pia wataalamu hao kutembelea maeneo kadhaa ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru kaya maskini katika mikoa y Dodoma, Lindi...