DIWANI WA TLP LUPINGU ASEMA YEYE SI MPINZANI ,AMFAGILIA MBUNGE FILIKUNJOMBE KWA KASI YA MAENDELEO
Na Francis Godwin Blog.
DIWANI wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kata ya Lupingu wilaya ya Ludewa mkoani Njombe John Kiowi amempongeza mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe kwa jitihada zake anazozifanya katika kuwapelekea maendeleo wananchi wa Ludewa huku akiwashangaa wapinzani wanaopinga jitihada mbali mbali zinazofanywa na serikali ya chama cha Mapinduzi (CCM) na kudai kuwa yeye si mpinzani wa uchwara wa kupinga maendeleo .
Akizungumza na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboDK.MAGUFULI ASEMA WAPINZANI WANUNE, WACHEKE YEYE NDIYE RAIS 2015, AMFAGILIA NAPE MTAMA
Akihutubia mjini Mtama, amesema kuwa Wapinzani Wanune, Wacheke yeye ndiye Rais 2015 na atahakikisha anafanya kazi kwa kuwaletea mafanikio watanzania.
11 years ago
Dewji Blog22 May
Mbunge na Diwani Chadema wakwamisha maendeleo jimboni kwa miaka minne
![13](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/135.jpg)
Ujenzi wa Shule ya Msingi Unyaghumpi ukiendelea katika Jimbo la Singida Mashariki la Mbunge Tundu Lissu,ambaye anadaiwa kuwakataza wananchi kuchangia fedha za kujengea vyumba vya madarasa katika shule hiyo.
Mmoja wa Viongozi wa CCM, Wilaya akimpatia tofari Kinana walipokuwa wakisaidia ujenzi wa Shule ya Msingi Unyaghumpi, katika Jimbo la Singida Mashariki la Mbunge Tundu Lissu. Mbunge huyo anadaiwa kuwakataza wananchi kuchangia fedha za kujengea vyumba vya madarasa katika shule hiyo....
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-hOKi-FQSmwU/U3zaMvn0ZwI/AAAAAAAChws/MjPoiFMF3MY/s72-c/18.jpg)
MBUNGE NA DIWANI CHADEMA WALALAMIKIWA NA WANANCHI KUKWAMISHA MAENDELEO YA JIMBO KWA MIAKA MINNE
![](http://4.bp.blogspot.com/-hOKi-FQSmwU/U3zaMvn0ZwI/AAAAAAAChws/MjPoiFMF3MY/s1600/18.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-aszbhOVnx0U/U3zaYV8IC-I/AAAAAAAChxE/OR0mXuXIf2g/s1600/20.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/A1Qs8*3Ts4xQEE5Qtrxl*c8aUWUGvZtpdu6lm14*dIaBhxMVDlTwvj33HDGzYy0FZeWU4mC22fzLAdj5cLWgEH5452d1kxJB/ajali.jpg?width=650)
AJALI YAUA DIWANI WA CCM KATA YA LUPINGU LEO
11 years ago
Mwananchi09 Jul
Mwenyekiti wa TLP amfagilia Waziri Dk Magufuli
5 years ago
MichuziMBUNGE LIJUALIKALI ASEMA KAMA CHADEMA KIMEMTOA MBALI NA YEYE PIA AMEKITOA MBALI,AANIKA KILA KITU KUHUSU WABUNGE WANAVYOKATWA MISHAHARA YAO KUCHANGIA CHAMA
Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
MBUNGE wa Jimbo la Kilombero kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Peter Lijualikali amezidi kuanika namna ambavyo wabunge wa Chama hicho ambavyo wamekuwa wakikatwa fedha zao na kisha kuzuliwa kuhoji matumizi ya fedha na namna zinavyotumika huku akieleza hatishwi na kauli za kwamba Chama kimemtoa mbali kwani hata yeye amekitoa mbali tu.
Siku za karibuni mbunge huyoa ameingia kwenye malumbano na Chama chake baada ya kuamua kubaki na msimamo wake...
10 years ago
Habarileo11 Dec
Diwani pekee wa TLP Arusha atimuliwa
DIWANI pekee wa kuchaguliwa wa chama cha Tanzania Labour (TLP) mkoani Arusha, Michael Kivuyo wa Kata ya Sokon 1 amevuliwa uanachama kwa kile kinachoelezwa kushindwa kusimamisha wagombea wenyeviti wa Serikali za Mitaa utaotarajiwa kufanyika Jumapili ijayo.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-m_4yaANm3NQ/XvhSbnpNLEI/AAAAAAALvxQ/L2mARfGUE34Yut2ulyBDVmmB4ZdzDXL6ACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-28%2Bat%2B11.13.23%2BAM.jpeg)
ALICHOKISEMA WAZIRI JAFO KWA RAIS DK.MAGUFULI KUHUSU KISARAWE, ASEMA YEYE NI FUNDI SELEMALA
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemeani Jafo amemshukuru Rais Dk.John Magufuli kwa kumuamini na kumteua kwenye nafasi hiyo ya uwaziri licha yeye ni fundi selemala huku akimhakikishia kuendelea kufanya kazi kwa juhudi zake.
Jafo amesema hayo leo Juni 27,2020 wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji wilayani Kisarawe ambapo Rais Magufuli ameuzindua rasmi na hivyo kutatua changamoto ya tatizo la maji ambalo limewakabili kwa...
11 years ago
Habarileo17 Feb
Mama Pinda asema Vicoba inakua kwa kasi
MKE wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda amesema miongoni mwa mifumo ya fedha inayokuwa kwa kasi nchini ni Benki za Vijijini (Vicoba). Alisema hayo juzi Kimanga, Dar es Salaam alipokuwa akizindua rasmi muungano wa Vicoba wenye vikundi 71 vyenye wanachama 600, ambao ndio waliopo katika mchakato wa Muungano huo.