Mwenyekiti wa TLP amfagilia Waziri Dk Magufuli
>Mwenyekiti wa Chama cha TLP mkoani Mara, Mafwili Munyaga amewafagilia Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli na Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola kuwa wanafanya kazi nzuri huku akimwomba Magufuli agombee nafasi ya juu kwa madai ni mchapakazi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo09 Jul
Mwenyekiti TLP ampa mbuzi Magufuli
MWENYEKITI Chama cha Tanzania Labour (TLP) wa Mkoa wa Mara, Mafwili Munyaga, amekabidhi mbuzi wawili Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli na kumuomba agombee nafasi ya juu katika uchaguzi mkuu ujao.
11 years ago
Michuzi09 Jul
DIWANI WA TLP LUPINGU ASEMA YEYE SI MPINZANI ,AMFAGILIA MBUNGE FILIKUNJOMBE KWA KASI YA MAENDELEO
Na Francis Godwin Blog.
DIWANI wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kata ya Lupingu wilaya ya Ludewa mkoani Njombe John Kiowi amempongeza mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe kwa jitihada zake anazozifanya katika kuwapelekea maendeleo wananchi wa Ludewa huku akiwashangaa wapinzani wanaopinga jitihada mbali mbali zinazofanywa na serikali ya chama cha Mapinduzi (CCM) na kudai kuwa yeye si mpinzani wa uchwara wa kupinga maendeleo .
Akizungumza na...
10 years ago
GPLMEMBE AMFAGILIA MAGUFULI
9 years ago
Habarileo11 Dec
Mbunge wa Chadema amfagilia Rais Magufuli
MBUNGE wa Viti Maalumu mkoa wa Mara, Joyce Sokombi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amempongeza Rais John Magufuli, kwa kasi yake ya kuwawajibisha watu na watumishi wa serikali wanaojinufaisha na mali ya umma.
9 years ago
Habarileo12 Dec
Profesa Jay amfagilia Rais Magufuli
MBUNGE wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro, Joseph Haule maarufu ‘Profesa Jay’, amempongeza Rais John Magufuli, kwa kusikia kilio cha wasanii na kuunda Wizara ya Habari iliyozingatia masuala ya Utamaduni, Wasanii na Michezo.
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-WKSOJwiHazM/VhvzGhWUL1I/AAAAAAADAxE/Yb7DT0sE3bw/s72-c/_MG_5417.jpg)
MAGUFULI AFANYA KAMPENI ZAKE WILAYA YA NACHINGWEA,RUANGWA,MTAMA NA LINDI MJINI,AMFAGILIA DIAMOND
![](http://4.bp.blogspot.com/-WKSOJwiHazM/VhvzGhWUL1I/AAAAAAADAxE/Yb7DT0sE3bw/s640/_MG_5417.jpg)
Katika mkutano huo wa hadhara Dkt.John Pombe Magufuli amesema kuwa Serikali atakayounda baada ya kuchaguliwa na Watanzania Oktoba 25 mwaka huu, itahakikisha inawatumikia huku akiweka wazi kuwa yeye hakuwa na mchezo kwani dhamira yake ni kutatua shida...
9 years ago
VijimamboDK.MAGUFULI ASEMA WAPINZANI WANUNE, WACHEKE YEYE NDIYE RAIS 2015, AMFAGILIA NAPE MTAMA
Akihutubia mjini Mtama, amesema kuwa Wapinzani Wanune, Wacheke yeye ndiye Rais 2015 na atahakikisha anafanya kazi kwa kuwaletea mafanikio watanzania.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-CwylSvEmP6E/XsffX2UIfyI/AAAAAAALrTE/-YW0k4ipdHgDHuMTCvUTUdoGnGXk5OuwwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200522-WA0048.jpg)
OLE MILLYA AMFAGILIA RAIS MAGUFULI KWA KURUHUSU MAZISHI YA HESHIMA KIPINDI HIKI CHA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-CwylSvEmP6E/XsffX2UIfyI/AAAAAAALrTE/-YW0k4ipdHgDHuMTCvUTUdoGnGXk5OuwwCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200522-WA0048.jpg)
******************************
MBUNGE wa Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara, James Ole Millya amempongeza Rais John Magufuli kwa hatua yake ya kuruhusu maziko kufanyika kwa heshima tofauti na awali watu 10 ndiyo walikuwa wanamzika mtu...
5 years ago
MichuziMkutano Mkuu wa TLP kumpitisha Mgombea Urais Dkt. John Pombe Magufuli wa CCM.
Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kimesema kuwa Mkutano mkuu wa chama hicho utaofanyika Mei 9 mwaka huu Kitapitisha Mgombea wa Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt.John Pombe Magufuli.
Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa Chama hicho Agustino Latonga Mrema amesema kuwa jina Mgombea Urais lilisgapitishwa na Halmashauri Kuu Chama na kilichobaki ni kudhibitisha jina la Mgombea huyo.
Amesema kuwa katika uchaguzi mkuu hakuna haja ya kuweka Mgombea...