MEMBE AMFAGILIA MAGUFULI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe . Mwandishi Wetu WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amemmwagia sifa lukuki Waziri wa Ujenzi, John Magufuli kwa kufanikisha ujenzi wa Barabara ya Ndundu-Somanga yenye urefu wa Kilomita 60, katika kiwango cha lami. Membe aliitoa kauli hiyo hivi karibuni mkoani Lindi wakati Magufuli ambaye pia ni Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/mOUgBqksIK0/default.jpg)
11 years ago
Mwananchi09 Jul
Mwenyekiti wa TLP amfagilia Waziri Dk Magufuli
9 years ago
Habarileo12 Dec
Profesa Jay amfagilia Rais Magufuli
MBUNGE wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro, Joseph Haule maarufu ‘Profesa Jay’, amempongeza Rais John Magufuli, kwa kusikia kilio cha wasanii na kuunda Wizara ya Habari iliyozingatia masuala ya Utamaduni, Wasanii na Michezo.
9 years ago
Habarileo11 Dec
Mbunge wa Chadema amfagilia Rais Magufuli
MBUNGE wa Viti Maalumu mkoa wa Mara, Joyce Sokombi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amempongeza Rais John Magufuli, kwa kasi yake ya kuwawajibisha watu na watumishi wa serikali wanaojinufaisha na mali ya umma.
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-WKSOJwiHazM/VhvzGhWUL1I/AAAAAAADAxE/Yb7DT0sE3bw/s72-c/_MG_5417.jpg)
MAGUFULI AFANYA KAMPENI ZAKE WILAYA YA NACHINGWEA,RUANGWA,MTAMA NA LINDI MJINI,AMFAGILIA DIAMOND
![](http://4.bp.blogspot.com/-WKSOJwiHazM/VhvzGhWUL1I/AAAAAAADAxE/Yb7DT0sE3bw/s640/_MG_5417.jpg)
Katika mkutano huo wa hadhara Dkt.John Pombe Magufuli amesema kuwa Serikali atakayounda baada ya kuchaguliwa na Watanzania Oktoba 25 mwaka huu, itahakikisha inawatumikia huku akiweka wazi kuwa yeye hakuwa na mchezo kwani dhamira yake ni kutatua shida...
9 years ago
VijimamboDK.MAGUFULI ASEMA WAPINZANI WANUNE, WACHEKE YEYE NDIYE RAIS 2015, AMFAGILIA NAPE MTAMA
Akihutubia mjini Mtama, amesema kuwa Wapinzani Wanune, Wacheke yeye ndiye Rais 2015 na atahakikisha anafanya kazi kwa kuwaletea mafanikio watanzania.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-CwylSvEmP6E/XsffX2UIfyI/AAAAAAALrTE/-YW0k4ipdHgDHuMTCvUTUdoGnGXk5OuwwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200522-WA0048.jpg)
OLE MILLYA AMFAGILIA RAIS MAGUFULI KWA KURUHUSU MAZISHI YA HESHIMA KIPINDI HIKI CHA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-CwylSvEmP6E/XsffX2UIfyI/AAAAAAALrTE/-YW0k4ipdHgDHuMTCvUTUdoGnGXk5OuwwCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200522-WA0048.jpg)
******************************
MBUNGE wa Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara, James Ole Millya amempongeza Rais John Magufuli kwa hatua yake ya kuruhusu maziko kufanyika kwa heshima tofauti na awali watu 10 ndiyo walikuwa wanamzika mtu...
10 years ago
Raia Mwema15 Jul
Alipokosea Lowassa, kilichomponza Membe na bahati ya Magufuli
SITAKI kudai kuwa najua kwa uhakika sababu za Kamati ya Usalama na Maadili kukata jina la Edward
Njonjo Mfaume
10 years ago
Vijimambo27 May
Lowassa aongoza.Wafuatia Slaa, Magufuli, Membe, Makamba, Lipumba, Mbowe, Zitto, Ni matokeo ya utafiti mikoa 18.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Lowasa-27May2015.jpg)
Nyota ya Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa, imeendelea kung’aa baada ya Taasisi ya Samunge Social Sciences Research Center (SSSRC), kufanya utafiti na kubaini kuwa kiongozi huyo ni chaguo la kwanza kwa wananchi.
Utafiti huo uliofanywa miaka miwili kuanzia 2013 hadi 2015, unaonyesha Lowassa anaongoza kwa asilimia 20.7 dhidi ya wagombea 31.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...