Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwenyekiti TLP ampa mbuzi Magufuli

MWENYEKITI Chama cha Tanzania Labour (TLP) wa Mkoa wa Mara, Mafwili Munyaga, amekabidhi mbuzi wawili Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli na kumuomba agombee nafasi ya juu katika uchaguzi mkuu ujao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti wa TLP amfagilia Waziri Dk Magufuli

>Mwenyekiti wa Chama cha TLP mkoani Mara, Mafwili Munyaga amewafagilia Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli na Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola kuwa wanafanya kazi nzuri huku akimwomba Magufuli agombee nafasi ya juu kwa madai ni mchapakazi.

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli ampa CAG ‘hesabu’

Rais John Magufuli ameitaka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ihakikishe Tanzania inaongeza ukusanyaji wa mapato kutoka asilimia 14 ya Pato la Taifa (GDP) hadi kufikia kiwango cha juu zaidi huku akitaka wananchi wafuate sheria.

 

5 years ago

Michuzi

Mkutano Mkuu wa TLP kumpitisha Mgombea Urais Dkt. John Pombe Magufuli wa CCM.

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii

Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kimesema kuwa Mkutano mkuu wa chama hicho  utaofanyika Mei 9 mwaka huu Kitapitisha Mgombea wa Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt.John Pombe Magufuli.

Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa Chama hicho Agustino Latonga Mrema amesema kuwa jina Mgombea Urais lilisgapitishwa na Halmashauri Kuu Chama na kilichobaki ni kudhibitisha jina la Mgombea huyo.

Amesema kuwa katika uchaguzi mkuu hakuna haja ya kuweka Mgombea...

 

10 years ago

GPL

BABY MADAHA AMPA TANO MAGUFULI

Mwandishi wetu STAA wa filamu na muziki, Baby Madaha amesema endapo mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli atakuwa rais, anaamini nchi itakuwa na maendeleo zaidi. Akipiga stori na gazeti hili, Baby Madaha alisema kwamba amefurahia sana ushindi  wa Magufuli kwani ni kiongozi bora.....Soma zaidi===>http://bit.ly/1CHSgcH ...

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Mwananchi

Mkapa ampa wasia Rais Magufuli

Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa amempa wasia Rais Dk John Magufuli, akitaka Serikali yake ikae na wadau ili kuinua kiwango cha taaluma kinachotolewa nchini.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Nay wa Mitego ampa tano Magufuli

12317395_778108658985561_983193373_n

Utendaji wa Rais Dkt John Magufuli umeendelea kupongezwa na watu wa itikadi na misimamo mbalimbali tangu achukue madaraka ya juu ya nchi.

Rapper Nay wa Mitego ambaye wakati wa uchaguzi alikuwa bega kwa bega kumnadi aliyekuwa mgombea kupitia vyama vinavyounda muungano wa UKAWA, Edward Lowassa, amempongeza Magufuli na kwa kuda kuwa ni mchapakazi.

Amesema kama ataendelea na kasi aliyonayo sasa, uchaguzi ujao ataipata kura yake.

“Mimi napenda anachokifanya na napenda tu niamini au napenda...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Muasisi wa Chadema ampa tano Rais Magufuli

WATANZANIA wa Kada mbalimbali wamempongeza Rais John Magufuli kwa kuokoa mamilioni ya shilingi ambayo yangetumika kwenye maazimisho ya miaka 54 ya uhuru wa Tanzania, Anaandika Faki Sosi…(endelea).Mwenyekiti wa kwanza wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia Muasisi wa chama hicho, Edwin Mtei, amesema kuwa uamuzi wa Rais Magufuli wa kufuta sherehe za uhuru utakuwa umeleta tija

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT SHEIN JIJINI DODOMA


 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM upande wa Zanzibar Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein muda mfupi kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani