Diwani CHADEMA Ubungo kizimbani kwa makosa mawili
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imempandisha Kizimbani Diwani wa Kata ya Ubungo Kisiwani kwa tiketi ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo CHADEMA Boniphace Jacob kwa makosa mawili la kwanza likiwa ni kumshambulia Mwandishi wa Habari wa Gazeti wa Uhuru Christopher Lissa.
Kosa la pili analokabiliwa nalo ni kuharibu Kamera ya Picha Mnato aina ya Nicon yenye thamani ya Shilingi Milioni Nane, Mali ya Kampuni ya Uhuru Publisher Limited.
Katika Kesi hiyo Wakili wa Serikali,...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi17 Sep
Diwani Kata ya Ubungo kizimbani kwa kujeruhi
11 years ago
Habarileo04 Jun
Naibu Meya, diwani kizimbani kwa shambulio
NAIBU Meya wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Prosper Msofe (48) na Diwani wa kata ya Levolosi, Ephata Nanyaro (28) leo walifikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arusha/Arumeru, kujibu mashitaka ya shambulio la kudhuru mwili wa askari mgambo wa Jiji William Mollel.
5 years ago
Michuzi
DIWANI KATA YA KIJICHI KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KULA RUSHWA

DIWANI wa Kata ya Kijichi halmashauri ya Manispaa wa Temeke kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Elias Mtarawanje (29), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Temeke akikabiliwa na mashtaka mawili likiwamo la kupokea rushwa ya Sh. Milioni moja kutoka kwa Yusuf Omary.
Diwani huyo amefikishwa mahakamani...
10 years ago
Mwananchi08 Jul
Mkwasa: Makosa mawili yaliigharimu Taifa Stars
5 years ago
CCM Blog
11 years ago
Habarileo13 Sep
RC ampongeza diwani wa Chadema kwa ujenzi wa maabara
MKUU wa mkoa wa Singida, Dk Parseko Kone amemmwagia sifa tele diwani wa kata ya Mwangeza, katika halmashauri ya Mkalama mkoani Singida, Petro Mliga (CHADEMA) kwa kuwezesha kata yake kuibuka ya kwanza kukamilisha ujenzi wa maabara.
9 years ago
CHADEMA Blog
CHADEMA yalaani kukamatwa kwa Mbunge wa Ubungo Kubenea
5 years ago
CCM Blog
DIWANI WA SINZA CHADEMA AMALIZA UDIWANI WAKE KWA KWENDA 'ROKAPU' NA KUFUNGULIWA JALADA TAKUKURU KWA KUDAIWA KULAMBA FEDHA ZA KINAMAMA

Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Sinza kwa tiketi ya Chadema Godfrey Chikandamwali jana, alimaliza udiwani wake kwa kuwekwa 'rokapu' na Polisi na kisha kufunguliwa jalada TAKUKURU, kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makori, kwa tuhuma za kukaidi wito wa mkuu huyo wa wilaya na pia kutafuna mamilioni ya fedha za kikundi cha kina mama.
Akizungumza kwenye Kikao cha mwisho cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Mkuu huyo wa Wilaya...
11 years ago
Dewji Blog22 May
Mbunge na Diwani Chadema wakwamisha maendeleo jimboni kwa miaka minne

Ujenzi wa Shule ya Msingi Unyaghumpi ukiendelea katika Jimbo la Singida Mashariki la Mbunge Tundu Lissu,ambaye anadaiwa kuwakataza wananchi kuchangia fedha za kujengea vyumba vya madarasa katika shule hiyo.
Mmoja wa Viongozi wa CCM, Wilaya akimpatia tofari Kinana walipokuwa wakisaidia ujenzi wa Shule ya Msingi Unyaghumpi, katika Jimbo la Singida Mashariki la Mbunge Tundu Lissu. Mbunge huyo anadaiwa kuwakataza wananchi kuchangia fedha za kujengea vyumba vya madarasa katika shule hiyo....