DIWANI KATA YA KIJICHI KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KULA RUSHWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-NWMTNrc8DU4/XsZ5mpJZ3gI/AAAAAAALrHw/nJn_TdsFDFQBv44PkpVJ8IM7OiIr09ZfACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-21%2Bat%2B3.47.14%2BPM.jpeg)
Diwani wa Kata ya Kijichi halmashauri ya Manispaa wa Temeke kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Elias Mtarawanje (29) akiingia katika mahakama hiyo leo jijini Dar es Salaam.
DIWANI wa Kata ya Kijichi halmashauri ya Manispaa wa Temeke kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Elias Mtarawanje (29), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Temeke akikabiliwa na mashtaka mawili likiwamo la kupokea rushwa ya Sh. Milioni moja kutoka kwa Yusuf Omary.
Diwani huyo amefikishwa mahakamani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi17 Sep
Diwani Kata ya Ubungo kizimbani kwa kujeruhi
11 years ago
Habarileo04 Jun
Naibu Meya, diwani kizimbani kwa shambulio
NAIBU Meya wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Prosper Msofe (48) na Diwani wa kata ya Levolosi, Ephata Nanyaro (28) leo walifikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arusha/Arumeru, kujibu mashitaka ya shambulio la kudhuru mwili wa askari mgambo wa Jiji William Mollel.
10 years ago
Dewji Blog13 Dec
Diwani Mathius wa kata ya Malangarini afunga kampeni za uchaguzi kwenye kata yake
Diwani wa kata ya Mlangarini, Mathius Manga akizungumza na wananchi wa kata hiyo katika mkutano wa hadhara wa kuhitimisha kampeni za uchaguzi wa CCM kwa ajili yakuwachagua viongozi wa serikali za mitaa utakaofanyika jumapili Desemba 14 mwaka huu.
Diwani Manga amewaasa wananchi wote kujitokeza kwa wingi kuwapigia kura wagombea wa CCM kwani wanasifa stahiki za kuwaongoza.
Aidha amesisitiza kulimnda amani kipindi chote cha uchaguzi na hata matokeo yatakapo tangazwa na kuepuka vitendo vya...
9 years ago
StarTV18 Sep
Diwani CHADEMA Ubungo kizimbani kwa makosa mawili
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imempandisha Kizimbani Diwani wa Kata ya Ubungo Kisiwani kwa tiketi ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo CHADEMA Boniphace Jacob kwa makosa mawili la kwanza likiwa ni kumshambulia Mwandishi wa Habari wa Gazeti wa Uhuru Christopher Lissa.
Kosa la pili analokabiliwa nalo ni kuharibu Kamera ya Picha Mnato aina ya Nicon yenye thamani ya Shilingi Milioni Nane, Mali ya Kampuni ya Uhuru Publisher Limited.
Katika Kesi hiyo Wakili wa Serikali,...
9 years ago
BBCSwahili10 Sep
Majaji 34 Ghana kuhojiwa kwa kula rushwa
11 years ago
Mwananchi21 Jan
Watu 12 kizimbani kwa tuhuma za mauaji ya Kiteto
10 years ago
Habarileo31 Aug
Askari wa JWTZ kizimbani kwa tuhuma za mauaji
ASKARI wawili wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora kwa tuhuma ya kumpiga hadi kumuua Chacha Juma, mkazi wa Nzega Mjini.
10 years ago
Habarileo02 Aug
20 CCM washikiliwa kwa tuhuma za rushwa
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wilayani Nkasi mkoani Rukwa, inawashikilia wanachama 20 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwemo diwani wa Viti Maalumu (CCM) aliyemaliza muda wake, wakituhumiwa kutoa na kupokea rushwa.
11 years ago
Mwananchi07 Mar
Hakimu mbaroni kwa tuhuma ya rushwa