Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diwani Kivule atakiwa kutetea maslahi ya wananchi

p>KATIBU Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kivule, Bihimba Mpaya amemuomba Diwani wa kata hiyo Ngemo Nyansika kukomesha matukio yanayotokea na kutetea maslahi ya wananchi. Akizungumza na waandishi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Maalim Seif awashauri wananchi kuweka mbele maslahi ya Zanzibar

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi mkuu kwenye uwanja wa Mkokotoni, Jimbo la Tumbatu, Unguja Kaskazini. Na Hassan Hamad, OMKR. Monday, October […]

The post Maalim Seif awashauri wananchi kuweka mbele maslahi ya Zanzibar appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Habarileo

Wananchi waumbua Mbunge, Diwani

MBUNGE wa Korogwe Mjini, Yusuf Nasir na Diwani wa kata ya Manundu, Robert Bago juzi walionja joto ya uongozi baada ya kuumbuliwa na wananchi kwenye mkutano wa hadhara mbele ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana.

 

11 years ago

Michuzi

Diwani wa Kata ya Endiamtu, Wilaya ya Simanjiro awataka wananchi wake kujiunga na CHF

Diwani wa Kata ya Endiamtu, Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Lucas Zacharia akiwahamasisha wakazi wa kitongoji cha Kilimahewa kujiunga na mfuko wa afya ya jamii (CHF) baada ya diwani huyo kuwachangia sh 500,000 za kaya 50 za kata hiyo.
Ili kuwahamasisha wananchi wajiunge na mfuko wa afya ya jamii (CHF) Diwani wa Kata ya Endiamtu Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Lucas Zacharia amelipia sh500,000 za gharama za matibabu, kwa kaya 50 za watu 300 wa kata hiyo.
Akizungumza jana kwenye...

 

5 years ago

Michuzi

DIWANI AISHUKURU KAMPUNI YA GP KWA KUWASAIDIA WANANCHI VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA,FUTARI


Mmiliki wa Kampuni ya SSMC Limited Saidi Mohamed kushoto akimkabidhi
vyakula vya futari na vifaa vya kujikinga na Ugonjwa wa Corona Diwani wa
Kata ya Makorora Omari Mzee vyenye thamani ya milioni 16 vilivyotolewa
na Kampuni ya Mafuta ya GP mapema leo kushoto ni Afisa Mtendaji wa Kata
ya Makorora Ramadhani Badi

Diwani wa Kata ya Makorora Omari Mzee kushoto akibidhi mmoja wa wananchi wa Kata ya Makorora Futari yenye thamani ya milioni 16 vilivyotolewa na Kampuni ya Mafuta ya GP mapema leo...

 

11 years ago

Michuzi

MBUNGE NA DIWANI CHADEMA WALALAMIKIWA NA WANANCHI KUKWAMISHA MAENDELEO YA JIMBO KWA MIAKA MINNE

Wanafunzi wa elimu ya awali, wakifundishwa na mwalimu Juliana Joseph huku wakiwa wamekaa sakafuni na juu ya paa kukiwa wazi katika moja ya vyumba vya madarasa ya Shule ya Msingi, Unyaghumpi vilivyozuiliwa kujengwa na Mbunge Tundu Lissu kwa kuwakataza wananchi kuchangia fedha na kuwaambia kuwa fedha zote zitatoka serikalini,imeelezwa na Wananchi wa jimbo hilo kuwa kufuatia na hali hiyo miradi mingi imekwama kwa miaka minne sasa,jambo ambalo limewarudisha nyuma kimaendeleo.  Katibu ...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI KIJIJI CHA MADINDO MLANGALI WASHIRIKIANA NA MBUNGE NA DIWANI WAO KUJENGA MRADI WA MAJI WA MILIONI 15

Mbunge Filikunjombe akishiriki kuchimba mfereji  wa maji kijiji cha MadindoWananchi  wa madindo wakishirikiana na mbunge wao Filikunjombe kukamilisha mradi wa maji
Diwani  wa kata ya Mlangali kushoto na katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Njombe  wakijumuika na wanawake wa  kijiji cha madindo kucheza kwa furaha baada ya mradi huo kukamilika ,kulia ni mbunge Filikunjombe akishuhudia Diwani wa kata ya  Mlangali Faraja Mlelwa akisaidia  kukunja nguo kwa ajili ya kumwongeza mbunge Filikunjombe...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Walimu Kivule hawana ofisi

SHULE ya Msingi Kivule jijini Dar es Salaam inahitaji sh milioni 97 kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Mwalimu Mkuu na Walimu ili kuhakikisha wanatoa elimu bora kwa wanafunzi....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kivule wajenga daraja la muda

DIWANI wa Kivule, Nyansika Ngemo, kwa kushirikiana na wananchi wake wamechanga sh 710,000 kwa ajili ya ujenzi wa daraja la muda la watembea  kwa miguu baada ya daraja la Mto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani