Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kivule wajenga daraja la muda

DIWANI wa Kivule, Nyansika Ngemo, kwa kushirikiana na wananchi wake wamechanga sh 710,000 kwa ajili ya ujenzi wa daraja la muda la watembea  kwa miguu baada ya daraja la Mto...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DARAJA LA KIVULE DAR HATARINI KUKATIKA

Daraja linalolalamikiwa na wakazi wa eneo la Kivule jijini Dar. Watembea kwa miguu pamoja na gari wakionekana kupita katika daraja hilo.…

 

10 years ago

GPL

MVUA ZILIVYOATHIRI DARAJA LA KIVULE, DAR

Daraja la Kivule lilivyoathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar. Hali ya usafiri imezidi kuwa ngumu. Mkondo wa maji yanavyotoka…

 

10 years ago

Habarileo

JK avuka Kigamboni kutumia daraja la muda

RAIS Jakaya Kikwete amekuwa Mtanzania wa kwanza kuvuka rasmi Bahari ya Hindi kwa gari kwenda Kigamboni akitokea mjini Dar es Salaam.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKAGUA DARAJA LA MUDA LA KIYEGEYA, Abaini Meneja wa TANROADS Mkoa bado hajateuliwa

*Aliyemhamisha akutwa bado yuko ‘site’ sababu ni mtaalamu wa madaraja
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa barabara ya muda kwenye eneo la daraja la Kiyegeya na kusema kazi inaenda vizuri sababu hakuna tena msongamano wa magari kama ilivyokuwa wiki iliyopita.
Hata hivyo, Waziri Mkuu amesisitiza kuwa Mameneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) wa mikoa yote nchini wanapaswa kufanya ukaguzi wa mara kwa mara wa madaraja yote siyo kwa juu tu bali hadi chini ya madaraja ili...

 

11 years ago

Habarileo

Wataliano wajenga madarasa 7 Bondwa

MARAFIKI kutoka Italia kupitia Shirika la Masista Mgolole mkoani Morogoro, wamejenga vyumba saba vya madarasa, madawati na miundombinu mingine katika Shule ya Msingi Bondwa.

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA UJENZI KUJENGA DARAJA JIPYA LITAKALOPITA BAHARINI PEMBEZONI MWA DARAJA SELANDER

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akionesha sehemu ambazo daraja hilo jipya litakapojengwa pembezoni mwa daraja Selander kuanzia hospitali ya Aghakan hadi barabara Kenyata. Sehemu ya Daraja hilo pekee litakuwa na urefu wa km 1.03 Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile akiwa na ujumbe kutoka Serikali ya Korea Kusini pamoja na Wizara ya Ujenzi mara baada ya kusaini Mkataba wa Muhtasari wa Majadiliano leo jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius...

 

9 years ago

StarTV

Manyara wajenga vyoo bora kiafya kudhibiti magonjwa ya mlipuko

Mkoa wa Manyara umeendelea kuchukua hatua mbalimbali kukabiliana na magonjwa ya milipuko kwa kujenga vyoo vinavyozingatia vigezo vya kiafya na kuhakikisha upatikanaji wa maji safi na salama hususani vijijini ambako mara nyingi kuna changamoto ya ufahamu kuhusu elimu ya usafi wa mazingira.

Mkakati wa uboreshaji wa vyoo na miundo mbinu bora ya maji ni hatua itakayochangia kuiokoa jamii kutoka kwenye dhana ya kujisaidia ovyo vichakani na pia kutotumia maji safi na salama.

Shule ya msingi Guse...

 

5 years ago

Michuzi

BUWASA WAJENGA VIZIMBA VYA KUNAWIA MIKONO TAHADHARI YA CORONA.

Pichani anaonekana Fundi Bomba kutoka BUWASA Ndg. Vicent Mashauri akimuelekeza mtoto namna ya kunawa Mikono katika zile hatua zinazoelekezwa na Mamlaka za Afya. Pichani ni Mkuu wa Wilaya za Bukoba Mhe. Deodatus Kinawiro akizindua kwa Vitendo Vizimba Vitatu vilivyojengwa na BUWASA lengo likiwa ni Wananchi na Jamii kwa ujumla waendelee kunawa mikono kama tahadhari ya Corona. Pichani. Ndoo zipatazo Thelathini zilizotolewa na BUWASA tayari kugawiwa katika maeneo mbalimbali hasa vituo vya...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI LUVUYO NA MBUNGE WAJENGA BARABARA YENYE THAMANI YA TSH MILIONI 52

Wananchi wa  kijiji  cha Luvuyo kata ya Madope  wakimpokea  mbunge wao Deo Filikunjombe kwa maandamano Wanachama  wa  chama  cha mapinduzi (CCM)   pamoja na  wananchi wa  kijiji cha Luvuyo kata ya Madope  wakishirikiana jana na mbunge  wao Deo Filikunjombe  (kushoto) kuchimba mifereji ya  maji katika barabara ya Luvuyo - Njombe  yenye urefu wa Kilomita 6 ambayo inajengwa kwa  ufadhili wa mbunge huyo kwa kiasi cha zaidi ya Tsh milioni 50Wananchi wa  Luvuyo wakimsikiliza  mbunge  wao Deo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani