DJ NATURE WA MAGIC FM AFARIKI DUNIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-e34Ph2bL1KI/VedqAEojzGI/AAAAAAAH18Y/KKOFhaTqQPY/s72-c/unnamed%2B%252833%2529.jpg)
Uongozi wa Africa Media Group Ltd kupitia Radio ya Magic Fm unasikitishwa kutangaza kifo cha aliyekuwa mfanyakazi mwenzao upande wa Radio,Geophrey Herry (pichani enzi za uhai wake), al-maarufu kama Dj Nature, kilichotokea siku ya Jumatatu ya tarehe 31/08/2015 mjini Songea.
Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki na majirani popote pale walipo.Mazishi yatafanyika kesho Songea.
Magic Fm inasikitika sana kwa kupotelewa na jembe, lakini hatuna budi kumshukuru Mungu kwa kila jambo.
Mungu...
Michuzi