DJ wa Jay Z katua Dar es Salaam.. kumbe ana washkaji TZ !! Mengine kwenye dakika 3.. +Video
Jamaa anaitwa DJ Young Guru, huyu ndio jamaa ambae anafanya kazi kama DJ wa rapper Jay Z akiwa kwenye show zake… Hii ni safari ya pili kwa Young Guru kukanyaga Tanzania. Young Guru anasema anajisikia poa sana kwa sababu tayari alipata washkaji kadhaa alipotua mara ya kwanza na alifahamiana pia na baadhi ya watu, kwa […]
The post DJ wa Jay Z katua Dar es Salaam.. kumbe ana washkaji TZ !! Mengine kwenye dakika 3.. +Video appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo514 Sep
Video: Tazama walichofanya Soggy Doggy,Wakazi na TID kwenye uzinduzi wa video za Professor Jay
9 years ago
MillardAyo31 Dec
Dakika 10 za Prof. Lipumba kuhusu Znz na mengine ya nchi.
December 30 2015 Profesa Ibrahim Lipumba ambaye ni mwenyekiti mstaafu wa chama cha Wananchi C.U.F aliyasema haya hapa chini mbele ya Waandishi wa habari Dar es salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea […]
The post Dakika 10 za Prof. Lipumba kuhusu Znz na mengine ya nchi. appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Ice Prince kamuweka mpenzi wake kwenye hizi dakika nne za ‘Feelings’ – (Video)!
Mkali wa muziki kutoka Nigeria, Ice Prince Zamani anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani. Baada ya kuuweka wazi uhusiano wake na mrembo Maima, staa huyo amekuja na mdundo mwengine kwenye video ambayo mpenzi wake amecheza kama video queen. Wimbo unaitwa ‘Feelings’ na kwa muonekano wa mambo ndani ya video ni wazi kabisa kuwa mtu wetu […]
The post Ice Prince kamuweka mpenzi wake kwenye hizi dakika nne za ‘Feelings’ – (Video)! appeared first on...
11 years ago
Bongo507 Aug
Video: Akon adai ndoa ya Jay Z na Beyonce ni ya biashara, The Carters wakaa kwenye hoteli ya tshs mil.50 kwa usiku 1
11 years ago
Bongo510 Jul
Wewe ni shabiki wa professor Jay? Atoa mwaliko kwa anayetaka kutokea kwenye video ya ‘Kipi Sijasikia’ Jumamosi hii (July 12)
9 years ago
Vijimambo10 years ago
Mwananchi24 Jan
Kumbe ‘zimamoto’ siyo kwenye mitihani tu
10 years ago
MichuziWarsha ya Sanaa na Harakati kwenye Jamii yaanza kufanyika jijini Dar es Salaam