Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Bilal ataka sekta binafsi kuwekeza katika kilimo

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal ametoa wito sekta binafsi kuwekeza kwenye kilimo, kwani kwa kufanya hivyo kutasaidia kuongeza ajira hasa kwa vijana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Pinda ataka sekta binafsi kuwekeza masuala ya afya

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amewataka wataalamu wa afya kuangalia namna Sekta binafsi zinaweza kuwekeza katika masuala ya afya ili kuisaidia serikali katika kusimamia na kuendesha shughuli za utoaji huduma ambazo...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WADAU WA UHAMASISHAJI WA UBIA BAINA YA SEKTA YA UMMA NA SEKTA BINAFSI (PPP) KATIKA SEKTA AFYA MKOANI RUKWA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akifungua rasmi mkutano wa wadau wa uhamasishaji wa ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi PPP - ("Public and Private Partnership") katika Sekta ya Afya uliofanyika leo katika ukumbi wa Hospitali Kuu ya Mkoa wa Rukwa. Katika hotuba yake ya ufunguzi amesema ili kufikia lengo kuu la millennia ifikapo mwaka 2015 la kupunguza vifo vya watoto, akina mama wajawazito na kuweza kudhibiti magonjwa yanayoambukiza na yasiyoambukiza pamoja na kuboresha...

 

10 years ago

Habarileo

Mradi wa kukwamua kilimo sekta binafsi

MRADI wa miaka mitano wenye lengo la kubadili sera, sheria na taratibu zinazozuia kukua kwa sekta binafsi katika sekta ya kilimo umezinduliwa jijini Dar es Salaam jana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sekta binafsi ziwekeze kwenye kilimo — SAGCOT

SERIKALI imeshauriwa kuzidi kutoa nafasi kwa sekta binafsi kuwekeza kwenye kilimo ili kuepuka kuagiza chakula nje ya nchi, hali inayosababisha uchumi kuendelea kuwa chini. Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam...

 

11 years ago

Habarileo

JK ataka sekta binafsi kukabili Ukimwi

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete ameitaka sekta binafsi kujihusisha zaidi katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi, kwa sababu ugonjwa huo unaathiri uchumi, biashara na kuongeza mzigo wa gharama za uzalishaji kwa kampuni.

 

11 years ago

Habarileo

Mhadhiri ataka umakini sekta binafsi kuboresha elimu

IMEELEZWA kuwa ni hatari uwekezaji kwenye elimu nchini kufanywa na watu wasio na elimu ili mradi awe na pesa za majengo na vifaa mbalimbali.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI ,SEKTA BINAFSI WATAKIWA KUKAA NA KUBUNI MIKAKATI YA KUENDELEZA SEKTA MUHIMU KATIKA KIPINDI HIKI CHA UGONJWA WA CORONA


Na Woinde Shizza,ARUSHA

SERIKALI pamoja na sekta binafsi zimetakiwa kukaa pamoja ili kubuni mikakati ya namna ya kuendesha sekta muhimu za uchumi kama vile sekta ya utalii ,sekta ya usafirishaji ,sekta ya kilimo ,sekta ya nishati pamoja na ufugaji bila kungoja kuisha kwa janga la Corona 19.

Hayo yamebainishwa na Mtendaji mkuu wa marafiki wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Moses Adam wakati akizungumza na Michuzi Tv ambapo alisema wanatakiwa kuja na njia mbadala endelevu zitakazoendelea ...

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yashauriwa kuwekeza katika sekta ya Filamu


 Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akiowaonyesha mabango ya filamu za Tanzania wageni kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Kenya (hawapo pichani) walipotembelea ofisi za Bodi hiyo ili kujifunza namna ya Uendeshwaji wa Bodi ya Filamu jana jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi hiyo Bw. Silyvester Sengerema.  Kutoka kushoto ni Afisa Mult Media kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Kenya (CA) Bi. Jacquline Kinyanjui, Afisa Mult Media kutoka Mamlaka ya Mawasiliano...

 

9 years ago

Mwananchi

Wakulima wadogo wamtaka Magufuli kuwekeza katika kilimo

Wazalishaji na wakulima wadogo nchini wamemtaka Rais John Magufuli, kuwekeza katika kilimo ili kukamilisha kaulimbiu yake ya Tanzania yenye viwanda pamoja na kutekeleza sera za kilimo chenye tija.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani