Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mradi wa kukwamua kilimo sekta binafsi

MRADI wa miaka mitano wenye lengo la kubadili sera, sheria na taratibu zinazozuia kukua kwa sekta binafsi katika sekta ya kilimo umezinduliwa jijini Dar es Salaam jana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Sekta binafsi ziwekeze kwenye kilimo — SAGCOT

SERIKALI imeshauriwa kuzidi kutoa nafasi kwa sekta binafsi kuwekeza kwenye kilimo ili kuepuka kuagiza chakula nje ya nchi, hali inayosababisha uchumi kuendelea kuwa chini. Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Bilal ataka sekta binafsi kuwekeza katika kilimo

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal ametoa wito sekta binafsi kuwekeza kwenye kilimo, kwani kwa kufanya hivyo kutasaidia kuongeza ajira hasa kwa vijana.

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WADAU WA UHAMASISHAJI WA UBIA BAINA YA SEKTA YA UMMA NA SEKTA BINAFSI (PPP) KATIKA SEKTA AFYA MKOANI RUKWA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akifungua rasmi mkutano wa wadau wa uhamasishaji wa ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi PPP - ("Public and Private Partnership") katika Sekta ya Afya uliofanyika leo katika ukumbi wa Hospitali Kuu ya Mkoa wa Rukwa. Katika hotuba yake ya ufunguzi amesema ili kufikia lengo kuu la millennia ifikapo mwaka 2015 la kupunguza vifo vya watoto, akina mama wajawazito na kuweza kudhibiti magonjwa yanayoambukiza na yasiyoambukiza pamoja na kuboresha...

 

5 years ago

Michuzi

SEKTA BINAFSI YACHANGIA SERIKALI BILIONI 2.1 KWA AJILI YA KUBORESHA SEKTA YA AFYA


Na. WAMJW-DSM

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea kiasi cha shilingi bilioni 2.1 kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchini kutoka kwa wadau wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).

Akiongea wakati wa makabidhiano hayo Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameishukuru TPSF kwa uratibu wao kwa sekta binafsi kuchangia vifaa tiba hivyo ili vituo vya afya kuwa na vifaa muhimu vya kutolea...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI ,SEKTA BINAFSI WATAKIWA KUKAA NA KUBUNI MIKAKATI YA KUENDELEZA SEKTA MUHIMU KATIKA KIPINDI HIKI CHA UGONJWA WA CORONA


Na Woinde Shizza,ARUSHA

SERIKALI pamoja na sekta binafsi zimetakiwa kukaa pamoja ili kubuni mikakati ya namna ya kuendesha sekta muhimu za uchumi kama vile sekta ya utalii ,sekta ya usafirishaji ,sekta ya kilimo ,sekta ya nishati pamoja na ufugaji bila kungoja kuisha kwa janga la Corona 19.

Hayo yamebainishwa na Mtendaji mkuu wa marafiki wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Moses Adam wakati akizungumza na Michuzi Tv ambapo alisema wanatakiwa kuja na njia mbadala endelevu zitakazoendelea ...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA KILIMO NA WAZIRI WA VIWANDA WAONGOZA KIKAO KAZI KUJADILI UFUNGAMANISHAJI SEKTA YA KILIMO NA MIKAKATI YA KUTAFUTA MASOKO

Waziri wa Viwanda na Bishara Mhe Innocent Nashungwa (Kulia) akisisitiza jambo wakati wa kikao kazi cha kujadili namna ya kufungamanisha uchumi wa Kilimo na Viwanda Jijini Dodoma, leo tarehe 1 Aprili 2020.Mshauri wa masuala ya Maendeleo ya Viwanda vya Kilimo wa Taasisi ya kuendeleza Kilimo Afrika (AGRA) Ndg Peniel Lyimo akichangia mada wakati wa kikao kazi kilichoongozwa na Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Innocent Bashungwa cha kujadili namna...

 

10 years ago

Habarileo

Sekta binafsi kudhibiti ujangili

SEKTA binafsi imeeleza nia ya kushiriki vita dhidi ya majangili wanaotishia maisha ya wanyama hususani tembo na wengineo kupitia mfumo wa ushirikiano kati ya sekta binafsi na umma (PPP).

 

11 years ago

Habarileo

JK azindua mfuko wa sekta binafsi

RAIS Jakaya Kikwete amezindua mfuko wa sekta binafsi wa kuwezesha wawekezaji nchini katika kupata mtaji, utakaokuza biashara na kukuza uchumi nchini. Mfuko huo unajulikana kama Mkoba, unalenga kutoa mitaji inayoanzia dola milioni moja hadi milioni 15.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali ichangie sekta binafsi

Enzi za Azimio la Arusha, njia zote kuu za uchumi zilimilikiwa na Serikali. Hivyo usafirishaji, shughuli za kibenki, hospitali, shule, posta, simu, maduka, viwanda na kadhalika, vyote vilimilikiwa na Serikali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani