Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK CHRISS MAUKI : Mwanaume hawezi kupambana na vishawishi mwenyewe lazima alindwe

Kama ni mpenzi wa redio, jina la Dk Chris Mauki si geni. Hali kadhalika kwa wasomaji wa magazeti, hasa jarida la Johari ambalo linachapishwa na gazeti la Mwananchi Jumapili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mwanaume Mwenye Hips Kubwa na za Kuvutia jitiririshe kuona picha zake na takubari mwenyewe

Uwezi Kuamini Kama Huyu ni Mwanaume wa Shoka Kabisa na sio Shoga ila ana Hips Balaa , Tena hips ambazo Wanawake wengi huzitamani mpaka kwenda kuzitafuta kwa Operation na Kumeza madawa ya kichina...Anaitwa Micah ni Kijana Mwanamuziki wa mwenyeji wa Chicago ..Leo ametupia picha nyingine kwenye account yake ya Instagram kama anavyoonekana hapo juuu kiasi cha Midume mingine kucomment na kuacha number zao za simu ..Check out more cuts…
I know a lot of women out there will be super jealous of this...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Miriam Mauki: Mwanamke hapaswi kukata tamaa

NI kati ya wanamama wanaofanya vizuri katika tasnia ya muziki wa injili pamoja na ujasiriamali. Mwanamama huyu hodari asiyekata tamaa kutokana na kazi anazozifanya amekuwa mfano wa kuigwa kwa juhudi...

 

9 years ago

Bongo5

New Video: Chriss Bee f/ Petronia – Bashee

IMG_0176

Video ya ngoma ya msanii wa Mbeya, Chriss Bee aliyomshirikisha Petronia – Bashee. Imeongozwa na Nicklass.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Michuzi

Criss Mauki, Jokate Mwegelo, Siza Ma-MC Siku Ya Msanii

BALOZI wa Redd’s Jokate Mwegelo, Dk. Criss Mauki wametangazwa kuwa washehereheshaji katika maadhimisho ya Siku Ya Msanii Tanzania yanayotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mratibu wa Siku Ya Msanii, Justin Jones alisema kutakuwa na washehereheshaji watatu katika siku hiyo ambapo Criss, Jokate wataungana na MC mwingine Siza Daniel katika kupendezesha shughuli hiyo.  “Tulikuwa na idadi kubwa ya watu ambao walitajwa ili wawe...

 

10 years ago

Michuzi

Mdau Chris Mauki aja na libeneke lake jipya

Mdau Chris Mauki ameibuka na libeneke lake zuri kabisa lenye lengo la kuwahabarisha wadau kuhusu masuala ya saikolojia, familia, mahusiano, na malezi pindi upatapo nafasi ya kutembelea Libeneke lolote lile,basi usisite kutia baraka katika libeneke la Mdau Chris Mauki ili upate uhondo kwa kubofya hiyo Link hapo chini.www.chrismauki.com

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani