VIFAA VYOTE VYA KUPAMBANA NA CORONA LAZIMA VIPITIE WIZARA YA AFYA - JPM
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWizara ya Afya yapokea magari na vifaa vya afya kutoka WHO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Donald Mmbando (kushoto)akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo baada ya kupokea msaada wa magari manne na vifaa vya afya kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Afya la Dunia(WHO),Dk. Rufaro Chotaro(kulia).Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Donald Mmbando (kushoto)akipokea moja ya funguo kati ya magari manne kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Afya la Dunia(WHO),Dk. Rufaro Chotaro(kulia).Magari manne na vifaa vya...
5 years ago
MichuziCHINA KUFADHILI VIFAA VYA KUPAMBANA NA CORONA MKOA WA DAR ES SALAAM
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
SERIKALI ya China kupitia ubalozi wake nchini utafadhili vifaa vya kupambana na virusi vya Corona (Covid 19) ikiwemo kutoa vifaa vya kupima virusi hivyo pamoja na kutoa vitakasa mikono (sanitizers) ambazo zitatolewa kwa wananchi wa hali ya chini ikiwa ni sehemu ya mapambano dhidi ya virusi hivyo vinavyosambaa katika maeneo mbalimbali duniani.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam mara baada ya kutembelea kiwanda cha uzalishaji bidhaa binafsi ikiwemo...

MichuziMKURUGENZI CCBRT AKABIDHI VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA KWA HOSPITALI, VITUO VYA AFYA 22
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT, Brenda Msangi, leo hii amekabidhi vifaa maalumu vya kujikinga na virusi vya Corona usoni (Face Shields) vipatavyo 150 kwa hospitali na vituo vya afya 22 katika Manispaa za mkoa wa Dar es Salaam.
Lengo la CCBRT ni kuunga mkono juhudi za Serikali na wadau wengine hapa nchini katika kuwakinga wahudumu wa afya na janga la Corona.
“Tumekusudia vifaa hivi vitumike katika vitengo vya afya ya uzazi katika hospitali hizo ili kuwakinga wahudumu wa afya...

MichuziTAASISI YA PAMOJA IKISHIRIKIANA NA RED CROSS UNGUJA WATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUPAMBANA NA CORONA (COVID-1).
Taasisi ya pamoja iliyopo Mbweni inayojishughulisha na masuala ya Ufundi wa Vyombo vya Moto na Ushoni Zanzibar kwa kushirikiana na Chama cha Msalaba Mwekundu Kanda ya Unguja vimetoa msaada wa Vifaa mbali mbali vya kupambana na Virusi vya Corona hapa Nchini.Vifaa hivyo ni pamoja na Mifereji Hamsini iliyotengenezwa Kitaalamu kulingana na mazingira halisi ya kujiepusha na Virusi vya Corona, ndoo 65, Sabuni pamoja na Vitakasa Mikono.Akikabidhi Vifaa hivyo kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili...
5 years ago
CCM BlogRAIS MAGUFULI: YEYOTE ATAKAYEPOKEA VIFAA VYA KUPAMBANA NA CORONA NA VIKIPIMWA NA KUKUTWA NA VIRUSI HIVYO ASHITAKIWE NA KESI YA MAUAJI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, ameagiza kuwa mtu yeyote atakayepokea vifaa vya kupambana na Virusi vya Corona, vikishapimwa na Maabara Kuu ya Tanzania na kukutwa vina Virusi vya hivyo, basi ashitakiwe na apewe kesi ya jinai.
Rais Magufuli ameyabainisha hayo leo Mei 21, 2020, Ikulu ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma, mara baada ya kuwaapisha Mabalozi wa nchi mbalimbali , Mkurugenzi wa TAKUKURU na Katibu Tawala Mkoa na kuongeza kuwa vitu vya bure vina...

MichuziWADAU WA AFYA WACHANGIA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA WAKATI WA MATIBABU SHINYANGA
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack akimkabidhi Mganga Mkuu Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile Methylated Sprit 'Sanitizer' ikiwa ni sehemu ya vifaa vyenye thamani shilingi milioni 10.7 kwa ajili ya kujikinga na kukabiliana na Maambukizi ya Virusi vya Corona wakati wa matibabu vilivyotolewa na wadau wa afya mkoa wa Shinyanga likiwemo shirika la Touch Foundation Jumatatu Aprili 6,2020 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga. Picha zote na Kadama Malunde -...
5 years ago
MichuziASASI ZA KIRAIA ZAANZISHA KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA KUNUNUA VIFAA VYA WAHUDUMU WA AFYA KUJIKINGA NA CORONA
Charles James, Michuzi TV
Katika kuunga mkono juhudi za serikali kwenye mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona, Asasi za Kiraia zimeanzisha kampeni ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia mapambano hayo.
Kampeni hiyo imelenga kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwanunulia vifaa vya kujikinga na ugonjwa wa Corona wahudumu wa afya nchini.
Akizungumzia kampeni hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa AZAKI, Francis Kiwanga amesema wao kama Asasi za Kiraia wameguswa na mapambano ya ugonjwa huo hivyo wakaona ni...
5 years ago
Michuzi5 years ago
MichuziTICTS YAKABIDHI VIFAA VYA THAMANI YA MILIONI 182/- KWA WIZARA YA AFYA, MGANGA MKUU WA SERIKLI ATOA SHUKRANI KWA SEKTA BINAFSI
Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Abel Makubi (wa pili kushoto) pamoja na Kaimu Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Angelina Ngalula (kushoto) wakiushukuru Uongozi wa Kampuni ya Kimataifa ya kuhudumia Makontena Tanzania katika bandari ya Dar es salaam (TICTS), Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo,Horace Hui (wa pili kulia) pamoja na Mkurugenzi wa Maendeleo wa TICTS, Donald Talawa kwa mchango wao wa kukabidhi msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya Sh.milioni 182,...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania