CHINA KUFADHILI VIFAA VYA KUPAMBANA NA CORONA MKOA WA DAR ES SALAAM

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
SERIKALI ya China kupitia ubalozi wake nchini utafadhili vifaa vya kupambana na virusi vya Corona (Covid 19) ikiwemo kutoa vifaa vya kupima virusi hivyo pamoja na kutoa vitakasa mikono (sanitizers) ambazo zitatolewa kwa wananchi wa hali ya chini ikiwa ni sehemu ya mapambano dhidi ya virusi hivyo vinavyosambaa katika maeneo mbalimbali duniani.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam mara baada ya kutembelea kiwanda cha uzalishaji bidhaa binafsi ikiwemo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
5 years ago
Michuzi
PINGO'S FORUM YATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUPAMBANA NA COVID 19 WILAYANI SIMANJIRO MKOA WA MANYARA
Vifaa hivyo vilikabidhiwa kwa halmashauri ya wilaya ya Simanjiro kwa niaba ya jamii ya Wafugaji wilayani humo kwaniaba yao kwa Mkurugenzi wa halmashauri hiyo Yafred Myenzi
Akiongea wakati akikabidhi vifaa hivyo Mkurugenzi wa Taasisi hiyo ya Pingo's Edward...
5 years ago
Michuzi
TAASISI YA PAMOJA IKISHIRIKIANA NA RED CROSS UNGUJA WATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUPAMBANA NA CORONA (COVID-1).
5 years ago
CCM Blog
ROSTAM AKABIDHI VIFAA KUPAMBANA NA CORONA DAR, AWATUMIA UJUMBE WAFANYABISHARA KUISAIDIA SERIKALI
Mwandishi Wetu, Michuzi TV
MFANYABIASHARA maarufu nchini Rostam Aziz amekabiodhi vifaa mbalimbali vikiwamo vitakasa mikoni na barakoa ili kusaidia mapambano dhidi ya Corona jijini Dar es Salaam.
Rostam amekabidhi msaada huo leo Aprili 16 mwaka 2020 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ikiwa ni sehemu ya ahadi yake kwa Waziri Mkuu aliyoitoa wiki iliyopita ya kutoa Sh.bilioni moja kusaidia vifaa hivyo katika daladala za jiji la Dar es Salaam na Zanzibar.
Akizungumza baada ya...

Akizungumza baada ya kukabidhi...
5 years ago
CCM Blog
RAIS MAGUFULI: YEYOTE ATAKAYEPOKEA VIFAA VYA KUPAMBANA NA CORONA NA VIKIPIMWA NA KUKUTWA NA VIRUSI HIVYO ASHITAKIWE NA KESI YA MAUAJI

Rais Magufuli ameyabainisha hayo leo Mei 21, 2020, Ikulu ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma, mara baada ya kuwaapisha Mabalozi wa nchi mbalimbali , Mkurugenzi wa TAKUKURU na Katibu Tawala Mkoa na kuongeza kuwa vitu vya bure vina...
5 years ago
CCM Blog
SERIKALI YAPOKEA TANI TATU YA VIFAA KUTOKA CHINA VYA KUKABILIANA NA CORONA

Serikali ya Tanzania mepokea msaada wa vifaa kinga kutoka China kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na mlipuko wa maambukizi ya homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (COVID-19) kutoka taasisi ya Jack Ma na Alibaba.
Akipokea vifaa hivyo kwa niaba ya Serikali, Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Muhammed Bakari Kambi amesema msaada huo ambao umetolewa na Taasisi ya Jack Ma na Alibaba ni pamoja na mavazi (PPE) 1,000 ya kujikinga wakati wa kuhudumia watu...
5 years ago
BBCSwahili29 Apr
Virusi vya corona: India yakataa vifaa vya kupima virusi hivyo kutoka China
5 years ago
Michuzi
BENKI YA NMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA KUNAWA MIKONO MKOA WA SINGIDA KUJIKINGA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA CORONA