Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK. HURUMA NKONE: Kanisa lina dhamana kusimamia maadili

MWANADAMU katika safari yake ya maisha ipo miongozo mbalimbali inayomsaidia kuhakikisha anaishi maisha yenye maadili. Katika kutoa mwelekeo wa mwaka 2014, Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAUMINI WA KANISA LA ADVENTISTA LA WASABATO WAADHIMISHA SIKU YA MATENDO YA HURUMA KWA KUCHANGIA DAMU

Mpango wa Taifa wa Damu salama kwa kushirikiana na waumini wa dhehebu la Sabato wameendesha zoezi la kuchangia damu katika mikoa mbalimbali hapa nchini. Mikoa hiyo ni Dar-es-salaam, Dodoma, Mwanza, Kilimanjaro,Tabora, Mara, Morogoro, Mbeya na Iringa, lengo likiwa  ni kukusanya chupa 3000 katika mikoa hiyo. Akiongea na waumini waliofika katika kituo cha Damu salama ilala mchikichini Askofu wa Jimbo la Mashariki ambalo linajumuisha mikoa ya Dar-es-salaam, pwani, Dodoma, Morogoro, Lindi,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kanisa larejesha maadili kwa vijana

UKOSEFU wa maadili katika jamii madhara yake ni makubwa. Wengi wamekuwa wakilizungumza hilo, lengo likiwa ni kuwashawishi wazazi na walezi wawalee vijana wao katika msingi mwema. Hiyo imetokana na vijana...

 

11 years ago

GPL

MANGULA AWATAKA VIONGOZI WA MATAWI KUSIMAMIA IPASAVYO KANUNI ZA UCHAGUZI, UONGOZI NA MAADILI‏

Makamu mwenyekiti taifa wa chama cha mapinduzi (CCM) Phillip Mangula. Makamu mwenyekiti taifa wa chama cha mapinduzi (CCM) Phillip Mangula amewataka viongozi wa matawi kusimamia ipasavyo kanuni za uchaguzi na uongozi na maadili wa chama hicho kwa kupiga vita rushwa hasa kuelekea katika chaguzi za serikali za mitaa zinatarajiwa kufanyika mwaka huu. Kauli hiyo ameitoa siku ya jana  jijini Dar es salaam katika salama za mwaka...

 

5 years ago

Michuzi

Wajumbe wa Baraza la Maadili wafanya Ziara Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma

Kamishna wa Maadili, Jaji (Mst) Harold Nsekela ( wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Maadili walipofanya ziara yao katika Ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Makao Makuu Dodoma hivi karibuni kwa lengo la kujifunza. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Baraza hilo, Jaji (Mst) Ibrahim Mipawa akifuatiwa na Immaculate Ngwalle na kushoto kwa Kamishna, Peter Ilomo.Kamishna wa Maadili, Jaji (Mst) Harold Nsekela akitoa neno la ukaribisho kwa Wajumbe wa Baraza...

 

11 years ago

Michuzi

Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wahimizwa kuzingatia Maadili.

Na. Ally Mataula Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wametakiwa kuzingatia maadili wanapokuwa wanatimiza majukumu yao ya kila siku. Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Ikulu Bw. Peter Ilomo wakati akifungua Mkutano wa kumi na mbili wa Baraza la Wafanyakazi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma uliofanyika Jijini Mbeya tarehe 28 Mei, 2014.  Bw. Ilomo alisema kuwa jukumu kubwa la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni kusimamia Maadili ya...

 

10 years ago

Michuzi

Sekretarieti ya Maadili waendesha mafunzo ya Maadili kwa maafisa waandamizi wa Polisi Zanzibar

Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imeendesha mafunzo ya Maadili kwa maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi walioko Zanzibar. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Mikutano ulioko katika Chuo cha Polisi mjini Zanzibar.
Mafunzo hayo yana lengo la kuwasaidia watendaji hao wa Jeshi la Polisi walioko Zanzibar kuweza kuondokana na changamoto nyingi za uvunjifu wa maadili ambazo watendaji hao wamekuwa wakikabiliana nazo.
Mafunzo hayo pia yana lengo la kuwakumbusha watendaji hao jinsi...

 

10 years ago

Michuzi

Mashahidi walieleza Baraza la Maadili jinsi Mkuu wa Wilaya ya Korogwe alivyokiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Na  Ally Mataula – Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma. Ikiwa ni siku ya nne tangu Baraza la Maadili lianze kusikiliza mashauri ya ukiukwaji wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma dhidi ya Viongozi mbalimbali wa umma, Baraza hilo limeendelea kusikiliza ushahidi kutoka upande wa Walalamikaji dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Mrisho Gambo.  Mhe. Gambo analalamikiwa na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kwa Matumizi mabaya ya uongozi yakiwemo matumizi ya lugha chafu,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani