Dk. Magufuli anaweza?
MUNGU mkubwa; kuna waliolia, wanaoendelea kulia na waliocheka mjini Dodoma wakati CCM ilipofanya mkutano wake kuteua jina la mgombea urais baadaye mwaka huu.
Dk. John Pombe Joseph Magufuli akaibuka kidedea miongoni mwa majina 38 ya makada wa chama hicho waliokuwa wakiwania kuingia katika ofisi hiyo kuu nchini kupitia chama tawala.
Hata ambao walidhani kwamba wao ndio wanaofaa zaidi kuingia Ikulu wanakiri, hata kimoyomoyo, kuwa msomi huyu wa kemia ni jembe linalofaa kuliongoza taifa...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Mwema14 Oct
Magufuli anaweza akawa Deng Xiaoping wa Tanzania ya leo?
AGOSTI 22, mwaka 1904, katika kijiji cha Xiexing Guang’an Jimbo la Sichuani nchini China, katika
Mwandishi Wetu
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
JK anaweza kuisaliti CCM?
Gazeti la Tanzania Daima, Toleo Na. 3336 la Jumanne, Januari 21, 2014 lilipambwa na kichwa cha habari “JK aisaliti CCM.” Mwandishi wa habari hiyo alimnukuu kada mmoja wa CCM ambaye...
10 years ago
BBCSwahili19 Sep
Je mbuzi anaweza panda baiskeli ?
9 years ago
BBCSwahili18 Dec
Mourinho anaweza kwenda wapi?
11 years ago
Tanzania Daima09 Mar
Kijana anaweza kufikia ndoto yake
ASILIMIA kubwa ya watu ukiwauliza kuhusu ndoto zao za baadaye, utashangazwa na mambo makubwa waliyoyabeba moyoni na kwenye fikra zao. Ni wachache kati ya hao ambao watafanya maamuzi ya kuchukua...
9 years ago
Bongo Movies05 Jan
Mbu mwenyewe anaweza kuondoa malaria
Mbu mwenyewe anaweza kuja ondoa malaria. Je, ni kweli? Tafiti ndio zinasema, endelea hapa chini
Kila mwaka, watu bilioni 3.2 wako katika hatari ya kuamukizwa malaria kutoka kwa mbu walioambukizwa na vijidudu vinavyosababishwa malaria. Lakini labda si kwa muda mrefu tukajasikia malaria imefutika kabisa.
Sio ajabu tukasikia mtu anasema hii itakuwa ni uongo,ndoto au haitawezekani kabisaaaa. Mwaka jana, 2015 wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha California walifanya utafiti na kufanikiwa kupata...
10 years ago
Tanzania Daima23 Nov
Kumbe Ndugai anaweza ni suala la uamuzi tu.
WIKI iliyopita imekuwa ni nzuri kwa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, kuhusu tathimini ya utendaji wake wa kazi za kuongoza mhimili huo. Utendaji...