Dk. Magufuli nguvu ya soda?
RAIS Dk.
Mwandishi Wetu
Raia Mwema
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Mwema11 Nov
Magufuli ni nguvu ya soda au moto wa gesi?
WIKI iliyopita imekwisha kwa mambo mengi na sijui hadi leo hii mangapi mengine yamefanyika tangu
Lula wa Ndali Mwananzela
9 years ago
Raia Mwema11 Nov
Tuone kweli kama ni nguvu ya soda au nguvu ya jua
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
9 years ago
Raia Mwema02 Dec
9 years ago
Raia Mwema25 Nov
Magufuli ana nguvu gani Zanzibar?
KUNA msomaji wangu mmoja ambaye kwa muda mrefu nikifikiri ni mwanachuoni au, pengine, mhamiaji tu
Ahmed Rajab
10 years ago
Habarileo17 Jul
Magufuli aapa kulinda Muungano kwa nguvu
MGOMBEA wa Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesema ataulinda Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioasisiwa mwaka 1964 kwa lengo la kuleta mshikamano na maendeleo kwa wananchi wa pande mbili za muungano wa Tanzania.
9 years ago
Mwananchi23 Sep
TAFAKURI YA ABDU IDD :Tutafakari nguvu na udhaifu wa Dk Magufuli
9 years ago
Michuzi02 Sep
KIMBISA AMNADI MAGUFULI KWA NGUVU, MAMA PINDA ANOGESHA...!
![Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa akicheza wimbo wa hamasa wa kampeni za CCM kabla ya kuanza kumnadi Dk. Magufuli kwa wanaUWT, Mkoa wa Dodoma.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_0310.jpg)
!['...Na wapigwe tu maana hamna namna nyingine..' Mke wa Waziri Mkuu wa Tanzania, Mama Tunu Pinda akizungumza na akinamama wa UWT Mkoa wa Dodoma.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_0287.jpg)
Na Mwandishi Wetu, DodomaMWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa ameweka kando msimamo aliyokuwa nao awali na kuanza kumnadi kwa nguvu mgombea wa...
9 years ago
Dewji Blog28 Sep
Dk Magufuli atoa mpya tena afanya mazoezi ya nguvu jukwaani Makambako
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akifanya mazoezi jukwaani akijiandaa kujinadi kwa wananchi katika Mji wa Makambako, mkoani Njombe leo, jambo ambalo lilizua vifijo, nderemo na vigelegele kutoka kwa wananchi waliofurika kwenye mkutano huo wa kampeni.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akijinadi kwa wananchi kwa kuwaomba ifikapo Oktoba 25, mwaka huu wakati wa Uchaguzi Mkuu, waende...
9 years ago
Dewji Blog28 Dec
Kanisa la Pentekoste Singida lamuombea Rais Magufuli nguvu ya kuendelea kutumbua majipu nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.
Na Nathaniel Limu, Singida
KANISA la Pentekoste (FPCT) Tanzania la mjini kati Singida limetumia maadhimisho ya siku ya kuzaliwa (krismasi) kwa Yesu Kristo, kumwombea Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Mungu aendelee kumpa afya,nguvu na ujasiri wa kutumbua majipu.
Maombi hayo maalum,yalifanywa na waumini wa kanisa hilo wakiongozwa na mchungaji Philipo Sospeter,kwa kile kilichodaiwa kuwa Rais Magufuli ameanza vizuri kuwatumikia...