Magufuli ni nguvu ya soda au moto wa gesi?
WIKI iliyopita imekwisha kwa mambo mengi na sijui hadi leo hii mangapi mengine yamefanyika tangu
Lula wa Ndali Mwananzela
Raia Mwema
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Mwema11 Nov
9 years ago
Raia Mwema11 Nov
Tuone kweli kama ni nguvu ya soda au nguvu ya jua
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
9 years ago
Raia Mwema02 Dec
9 years ago
Dewji Blog06 Dec
Skylight Band waendelea kuwasha moto wa nguvu ndani ya Escape One usikose leo
Waimbaji wa Bendi ya Skylight pamoja na mashabiki wa bendi hiyo wakiendelea kuzirudi katika kiota cha Escape One Jijini Dar es Salaam na leo sio siku ya kukosa maana utakosa vitu vizuri kutoka katika bendi hiyo
Rapa Mkongwe wa muziki wa dansi wa Skylight Band, Joniko Flower akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Jumapili iliyopita ndani ya kioa cha Escape One Mikocheni ambapo leo pia burudani iko pale pale na ndio kwanza week end imeanza kwa fans wa Skylight Band.
Kasongo Junior...
9 years ago
Raia Mwema25 Nov
Magufuli ana nguvu gani Zanzibar?
KUNA msomaji wangu mmoja ambaye kwa muda mrefu nikifikiri ni mwanachuoni au, pengine, mhamiaji tu
Ahmed Rajab
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-NSpZX6Gtp60/Vhf3T0uFMjI/AAAAAAADAnA/dUvcSp7q1Xk/s72-c/_MG_4992.jpg)
MAGUFULI - GESI YA BAGAMOYO ITALINUFAISHA TAIFA
![](http://3.bp.blogspot.com/-NSpZX6Gtp60/Vhf3T0uFMjI/AAAAAAADAnA/dUvcSp7q1Xk/s640/_MG_4992.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-_UrvcVNpXHM/Vhe1mBeuROI/AAAAAAADAjE/gFWD9Yt782Q/s640/_MG_4949.jpg)
9 years ago
Dewji Blog10 Oct
Gesi ya Bagamoyo italinufaisha taifa — Magufuli
![](http://3.bp.blogspot.com/-_UrvcVNpXHM/Vhe1mBeuROI/AAAAAAADAjE/gFWD9Yt782Q/s640/_MG_4949.jpg)
Umati wa wakazi wa mji wa Bagamoyo mkoa wa Pwani wakiwa wamekusanyika kwenye uwanja wa shule ya Msingi majengo wilayani Bagamoyo wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli (hayupo pichani) alipokuwa akijinadi mbele yao kwenye mkutano wa kampeni na kuomba kura za kutosha ili awe Rais wa Tanzania katika awamu ya tano.Dkt Magufuli amemaliza kampeni zake ndani ya mkowa wa Kilimanjaro na leo ameanza mkoa wa Pwani,wilayani Bagamo ambapo anatarajia kuendelea na kampeni zake mkoani...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-_UrvcVNpXHM/Vhe1mBeuROI/AAAAAAADAjE/gFWD9Yt782Q/s72-c/_MG_4949.jpg)
GESI YA BAGAMOYO ITALINUFAISHA TAIFA-MAGUFULI.
![](http://3.bp.blogspot.com/-_UrvcVNpXHM/Vhe1mBeuROI/AAAAAAADAjE/gFWD9Yt782Q/s640/_MG_4949.jpg)
10 years ago
Habarileo17 Jul
Magufuli aapa kulinda Muungano kwa nguvu
MGOMBEA wa Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesema ataulinda Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioasisiwa mwaka 1964 kwa lengo la kuleta mshikamano na maendeleo kwa wananchi wa pande mbili za muungano wa Tanzania.