Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Nchimbi arudi kivingine, aratibu sherehe za CCM

Mbunge wa Songea Mjini, Dk Emmanuel Nchimbi amerudi kwa kuanza kuratibu sherehe za kutimiza miaka 38 ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kitaifa mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Nchimbi arudi Songea, aomba ushirikiano

MBUNGE wa Songea Mjini, Dk. Emmanuel Nchimbi (CCM), amewataka madiwani na wananchi wa jimbo hilo kumpa ushirikiano wa dhati ili akamilishe ahadi alizozitoa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu uliopita. Wito...

 

9 years ago

Habarileo

Nchimbi avunja ukimya CCM

MMOJA wa makada wa CCM aliyewania kuteuliwa na chama hicho kuwania Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Dk John Nchimbi, ameibuka na kudai kuwa, hana kinyongo na yaliyotokea Dodoma huku akionesha kuwashangaa wanaoendelea kunung’unika, akisema watu wa aina hiyo hawakuwa pamoja na chama.

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Nchimbi awananga makada waliohama CCM

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Dk Emmanuel Nchimbi amewafananisha viongozi waliokihama chama hicho na kujiunga na upinzani kuwa ni sawa na wachezaji mpira wa miguu waliochoka ambao hawawezi kuleta ushindi.

 

9 years ago

TheCitizen

Nchimbi, 8 other CCM members collect speaker forms

Nine CCM members yesterday collected nomination forms for the position of the Speaker of the National Assembly after the ruling party kick-started the process to pick  its candidate.

 

10 years ago

GPL

DKT NCHIMBI ASEMA CCM HAINA TATIZO LA KIMUUNDO WALA MFUMO

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Sherehe za Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Songea, Dk. Emmanuel Nchimbi akizungumza katika maadhimisho ya miaka 38 ya CCM, yaliyofanyika kitaifa juzi kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea, Mkoani Ruvuma. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.… ...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM NA RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZINDUA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA CCM

 Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzinzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika uzinduzi wa kuadhimisha sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba leo. Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika uzinduzi wa kuadhimisha sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM...

 

11 years ago

Michuzi

Mwenezi wa Chadema Wilaya ya Meatu arudi CCM pamoja na viongozi wengine wa Chadema

 Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema wilaya ya Meatu Kimwaga Jackson Ndibo akirudisha vitu vya Chadema zikiwemo kadi, bendera na katiba kwa viongozi wa CCM baada ya kurudi rasmi.  Mwenyekiti wa Vijana  mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga akikabdihi kadi ya CCM kwa  moja ya viongozi wa Chadema Meatu waliorudi CCM.  Mwenyekiti wa Vijana  mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga akihutubia wakazi wa wilaya ya Meatu na kuwahakikishia wananchi hao CCM imejipanga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani