Dk Shein afurahishwa na azma ya Uturuki
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ameelezea kufurahishwa na azma ya Serikali ya Uturuki kuteua balozi wa heshima Zanzibar na baadaye kuanzisha ubalozi mdogo kwa lengo la kukuza na kuimarisha uhusiano uliopo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi03 May
11 years ago
Michuzi.jpg)
WAZIRI WA MAMBO YA NJE UTURUKI AKUTANA NA RAIS DKT SHEIN LEO
.jpg)
5 years ago
Michuzi
RC MAKONDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI PAMOJA NA JOPO LA WAWEKEZAJI KUTOKA NCHINI UTURUKI.


************************************Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo February 18 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Ali Davulaglu, Balozi wa Tanzania Nchini Uturuki Prof.Elizabeth Kiondo, Mstahiki Meya kutoka Uturuki, Wawekezaji na Wafanyabiashara zaidi ya 40 kutoka Nchini Uturuki waliokuja Kutazama na kuchangamkia fursa za Uwekezaji wa Viwanda jijini Dar es salaam.Katika Mazungumzo hayo RC Makonda ...
11 years ago
BBCSwahili13 Jun
Azma ya kumaliza ubakaji vitani
Kongamano kuhusu dhuluma ya ubakaji katika mataifa yaliyo katika mizozo ya kivita, imemalizika hii leo jijini London.
11 years ago
BBCSwahili11 Jun
Je azma ya Nkurunziza inakiuka katiba?
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza, amegusia kuwa huenda akawania urais kwa muhula wa tatu licha ya upinzani kulalamika kuwa hatua kama hiyo inakiuka katiba.
11 years ago
BBCSwahili11 Jun
Azma ya Rais Nkurunziza ni ipi mwakani?
Huku uchaguzi mkuu ukitarajiwa kufanyika Burundi mwakani, je rais Nkurunziza atahudumu zaidi baada ya miaka kumi uongozini?
11 years ago
Michuzi09 Mar
5 years ago
CCM Blog08 Mar
IRAN IMESIMAMA IMARA DHIDI YA CORONA KWA AZMA THABITI

9 years ago
Michuzi
Azma ya kuwa na kizazi kisicho na UKIMWI, muda wa vitendo ni sasa

Mwaka mmoja uliopita wakati wa maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani, niliandika makala kuhusu jitihada za kuwa na kizazi kisicho na UKIMWI nchini Tanzania. Toka wakati huo, kwa pamoja tumepiga hatua muhimu kuelekea katika kufikia azma hiyo, tukielekeza rasilimali na shughuli zetu kwenye maeneo yenye mahitaji zaidi nchini kote. Hata hivyo, bado tunahitajika kuongeza nguvu na kufanya zaidi. Bila ya kuongeza kasi...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania