Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je azma ya Nkurunziza inakiuka katiba?

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza, amegusia kuwa huenda akawania urais kwa muhula wa tatu licha ya upinzani kulalamika kuwa hatua kama hiyo inakiuka katiba.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Azma ya Rais Nkurunziza ni ipi mwakani?

Huku uchaguzi mkuu ukitarajiwa kufanyika Burundi mwakani, je rais Nkurunziza atahudumu zaidi baada ya miaka kumi uongozini?

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

BBCSwahili

Somalia inakiuka haki za wafungwa - HRW

Human Rights Watch imeishutumu Somalia kwa kuwanyima wafungwa haki za uakilishi na kuwashitaki raia chini ya mahakama za kijeshi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Urusi yadai Ukraine inakiuka mkataba

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi, Sergei Lavrov, ametuhumu maafisa wakuu wa Kiev kwa kuvunja mkataba uliofikiwa wiki jana mjini Geneva kusuluhisha mgogoro wa Ukraine.

 

5 years ago

BBCSwahili

Pierre Nkurunziza: Nani anaiongoza Burundi baada ya kifo cha Nkurunziza?

Zaidi ya saa 48 baada ya kifo cha ghafla cha rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kumekuwa na sintofahamu kuhusu ni nani atakayechukuwa hatamu ya uongozi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Azma ya kumaliza ubakaji vitani

Kongamano kuhusu dhuluma ya ubakaji katika mataifa yaliyo katika mizozo ya kivita, imemalizika hii leo jijini London.

 

11 years ago

Habarileo

Dk Shein afurahishwa na azma ya Uturuki

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed SheinRAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ameelezea kufurahishwa na azma ya Serikali ya Uturuki kuteua balozi wa heshima Zanzibar na baadaye kuanzisha ubalozi mdogo kwa lengo la kukuza na kuimarisha uhusiano uliopo.

 

11 years ago

Michuzi

5 years ago

CCM Blog

IRAN IMESIMAMA IMARA DHIDI YA CORONA KWA AZMA THABITI

Mwakilishi wa WHO:  Iran imesimama imara dhidi ya corona  kwa azma thabiti Mkuu wa ujumbe wa Shirika la Afya Duniani uliopo hapa nchini amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inakabiliana kwa dhati dhidi ya maambukizo ya virusi vya corona.Richard Brennan Mkuu wa ujumbe wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini  nchini ambao ulielekea katika mji wa Qum kusini mwa Tehran  kwa ajili ya kuchunguza hali ya maambukizo ya virusi vya corona jana usiku alikutana na kufanya mazungumzo na Bahram Sarmast Gavana wa Qum na kueleza kuwa: Kesi ya kwanza ya maambukizo ya virusi vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani