Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Shein aishukuru China kwa misaada

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ameishukuru Serikali ya China kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta ya afya ikiwa ni pamoja na kuendelea kuwaleta madaktari kila baada ya miaka miwili hapa nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU AISHUKURU LIONS CLUB KWA MISAADA YAKE


WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameishukuru taasisi ya Kimataifa ya Lions Club kwa misaada ambayo imekuwa ikiitoa hapa nchini katika nyanja za afya, utunzaji mazingira na uokoaji wakati wa maafa.
Akifungua kongamano la 12 la mwaka linalojumuisha wadau wote wa Lions Club District 411 leo asubuhi (Jumamosi, Mei 9, 2015), Waziri Mkuu alisema anawashukuru wana Lions wote kwani miradi mingi wanayoifanya huwa ni kwa kujitolea tu.
“Serikali itaendelea kushirikiana na taasisi hii kwani kwa sehemu kubwa...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI NASSAR AISHUKURU BENKI YA NMB KWA MISAADA INAYOENDELEA KUTOA KWA WANANCHI

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar akifurahia msaada wa madawati toka Benki ya NMB ,wengine ni viongozi kutoka katika benki hiyo pamoja na viongozi waliokuwa wakiiwakilisha serikali. 

Mbunge Joshua Nassar akizungumza wakati wa hafla fuoi ya kukabidhi msaada wa madawati uliotolewa na Benki ya NMB kwa ajili ya shule ya msingi Sura iliyopo kijiji cha Songoro wilaya ya Arumeru.Baadhi ya wazazi wenye watoto katika shule ya msingi Sura iliyopatiwa msaada wamadawati na Benki ya NMB.

 

10 years ago

Michuzi

NASSAR AISHUKURU BENKI YA NMB KWA MISAADA INAYOENDELEA KUTOA KWA WANANCHI KATIKA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI.

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar akifurahia msaada wa madawati toka Benki ya NMB ,wengine ni viongozi kutoka katika benki hiyo pamoja na viongozi waliokuwa wakiiwakilisha serikali. Meneja wa Benki ya NMB tawi la Usa River,Bernadeta Mmary akikabidhi msaada wa madawati kwa mwakilishi wa afisa elimu ,Jumanne Masuke uliotolewa na benki kwa shule ya msingi ,Sura iliyopo kijiji cha Songoro wilayani Arumeru.Mbunge Joshua Nassar akizungumza wakati wa hafla fuoi ya kukabidhi msaada...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania yaipongeza China kwa misaada ya kimaendeleo

01

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimatafa Bernard Membe akitoa hotuba  kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya  Kikwete ambaye alikuwa  Mgeni Rasmi katika sherehe  ya mwaka mpya wa Kichina jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.

Na Magreth Kinabo na Eleuteri Mangi- MAELEZO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimatafa Bernard Membe, ameipongeza Serikali Jamhuri ya China kwa msaada wake wa kuhakikisha Tanzania imefungua idara ya maalum...

 

11 years ago

Mwananchi

JK aishukuru CRDB kusaidia Sh100mil kwa waathirika Moro

>Benki ya CRDB, imemkabidhi Rais Jakaya Kikwete hundi ya Sh100 milioni kwa ajili ya waathirika wa mafuriko yaliyozikumba Wilaya tatu za Kilosa, Gairo na Mvomero mkoani Morogoro mwezi uliopita.

 

9 years ago

StarTV

Watanzania waishio China wadhamiria kutoa misaada ili kuboresha Sekta Mbalimbali zikiwemo Afya na Elimu

 

Ushirika wa Watanzania wanaoishi nchini China umedhamiria kutoa msaada katika sekta mbalimbali zikiwemo za elimu na afya ili kupunguza changamoto ya vifaa katika hospitali, zahanati na vituo vya afya.

Kupitia taasisi hiyo ya Umoja wa marafiki wa Tanzania na China tayari imetoa udhamini wa masomo kwa wanafunzi wanaosoma nchini chini kwa kiwango cha Shahada ya Uzamili ambapo kila mwaka wanafunzi 40 wanapata nafasi za kusoma.

Kwa kupitia Taasisi hiyo na serikali ya china imeamua kutoa vitanda...

 

5 years ago

Michuzi

DIWANI AISHUKURU KAMPUNI YA GP KWA KUWASAIDIA WANANCHI VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA,FUTARI


Mmiliki wa Kampuni ya SSMC Limited Saidi Mohamed kushoto akimkabidhi
vyakula vya futari na vifaa vya kujikinga na Ugonjwa wa Corona Diwani wa
Kata ya Makorora Omari Mzee vyenye thamani ya milioni 16 vilivyotolewa
na Kampuni ya Mafuta ya GP mapema leo kushoto ni Afisa Mtendaji wa Kata
ya Makorora Ramadhani Badi

Diwani wa Kata ya Makorora Omari Mzee kushoto akibidhi mmoja wa wananchi wa Kata ya Makorora Futari yenye thamani ya milioni 16 vilivyotolewa na Kampuni ya Mafuta ya GP mapema leo...

 

11 years ago

Mwananchi

DK Shein asifu ushirikiano wa China

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amefanya mazungumzo na Mjumbe Maalumu wa Rais Xi Jinping wa China na kujadili jinsi nchi hiyo inavyoweza kuchochea kasi ya maendeleo ya Wazanzibari.

 

9 years ago

Michuzi

DK.SHEIN AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA CHINA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi kutoka China (ZHEJING UNIVESITY  OF MEDIA&COMMUNICATIONS) Rrof.Dk.Peng Shaojian wakati alipofika Ikulu mjini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe kutoka nchini China katika Chuo cha (ZHEJING UNIVESITY  OF MEDIA&COMMUNICATIONS) chini ya kiongozi wake Mwenyekiti wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani