Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk. Slaa amkumbuka Jaji Joseph Warioba

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa, juzi aliikumbuka Rasimu ya Katiba Iliyopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba chini ya Jaji Joseph Warioba, akisema kinachoendelea bungeni ni vita kati ya uadilifu na ufisadi.

Akizungumza katika kongamano la Wazee wa Dar es Salaam jana, Dk. Slaa alisema: “Wenzetu walikataa Rasimu ya Katiba ya Warioba iliyopendekeza misingi ya uadilifu nchini kwa kuweka uovu katika mikataba. Ilitupasa tutambue kuwa ili...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Jaji Joseph Warioba amkumbuka Mandela

Nchini Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba ni miongoni mwa watu waliomfahamu Nelson Mandela kwa karibu

 

11 years ago

Michuzi

JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA KUWASILISHA RASIMU YA KATIBA KESHO JUMANNE

 Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akiwa na Makamu wake Jaji Augustino Ramadhani baada ya kuwasili bungeni mjini Dodoma na muda mfupi kabla ya kuanza  kuwasilisha rasimu ya Katiba Mpya.   Baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba  wakiwa wamesimama kupinga Jaji Joseph Warioba asiwasilishe rasimu ya katiba huku wakipiga kelele na kugomga meza.
 Baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba  wakiwa wamesimama kupinga Jaji Joseph Warioba asiwasilishe rasimu ya katiba 

 

9 years ago

Michuzi

MICHUZI BLOG EXCLUSIVE: JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA AFANYIWA SHEREHE YA KUSTUKIZWA YA MIAK 75 YA KUZALIWA NA WATOTO NA WAJUKUU WAKE

 Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba Ijumaa usiku alijikuta anapigwa  butwaa baada ya kurudi nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es salaam na kukuta bango hilo mbele yake ambapo  watoto na wajukuu wake walikuwa wamemuandalia sherehe ya kuzaliwa kwake ya miaka 75 (suprise Birthday Party) bila ya yeye mwenyewe kujua Jaji Warioba na mkewe walijikuta wanashangaa zaidi kukuta kumbe watoto na wajukuu sio tu wameandaa Birthday party yake bali pia sala maalumu ya kushukuru kwa kufikisha...

 

9 years ago

Michuzi

JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA KWENYE KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KAWE

 Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika katika Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jumapili Sept. 20.15. Kushoto ni Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Charles William Iteba.
Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, akipongezwa na wanaCCM katika mkutano wa kampeni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji Msumi hajajifunza kwa Jaji Warioba?

BAADA ya kusikia matusi, kejeli na mipasho toka kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba dhidi ya Jaji Joseph Warioba, sasa macho na masikio tunaelekeza kwa Jaji mstaafu Hamis Msumi...

 

9 years ago

Vijimambo

JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA

Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika katika Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jumapili Sept. 20.15. Kushoto ni Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Charles William Iteba.  PICHA ZOTE/JOHN BADI WA DAILY MITIKASI BLOGWaziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akizungumza wakati akiwanadi...

 

11 years ago

The Africa Report

Tanzania: Joseph Sinde Warioba and the Union


Tanzania: Joseph Sinde Warioba and the Union
The Africa Report
Joseph Sinde Warioba. Photo©RobertoKanda.blogspot.fr Joseph Sinde Warioba, Tanzania's former Prime Minister has fallen foul of President Jakaya Kikwete after surveying what people want from a new constitution. Based on his findings, he proposed a ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani