Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Utaro mwenyekiti mpya JET

DSC06254

Mwenyekiti mteule wa Chama cha Waandishi wa Habari Mazingira Tanzania (JET), Dk.Elen Utaro akitoa shukrani zake kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa uchanguzi wa chama hicho kwa kumpatia kura za kutosha na amewataka wampe ushirikiano wa kutosha ili kukiendeleza mbele chama hicho.

DSC06248

Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari wa Mazingira Tanzania (JET), Aisha Dachi, akizungumza kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari Mazingira ambapo alitangza hagombei tena nafasi hiyo kwa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

HONGERA MWENYEKITI MPYA

Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa,Mh. Mboni Mhita (kushoto) akimpongeza Mwenyekiti Mpya wa Serikali ya Mtaa wa Masaki,Kinondoni Jijini Dar es Salaam,Ndg. Kimweri Mhita wakati wa hafla fupi ya kumpongeza mara baada ya kuapishwa kwake,Kimweri ni mmoja wa Wenyeviti wapya waliochagulia katika Uchaguzi uliofanyika hivi karibuni nchini kote. Mwenyekiti Mpya wa Serikali ya Mtaa wa Masaki,Kinondoni Jijini Dar es Salaam,Ndg. Kimweri Mhita (katikati) akiwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mugabe Mwenyekiti mpya wa AU

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa umoja wa Afrika Au kwenye mkutano unaoendelea mjini Addis Ababa Ethiopia

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ng’imaryo Mwenyekiti mpya TAHA

TAASISI  ya Kilimo cha Maua na Mbogamboga nchini (TAHA) imemteua, Eric Ng’imaryo, kuwa mwenyekiti mpya. Ng’imaryo ameshika nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Colman Ngalo aliyeendesha taasisi hiyo kwa miaka 10....

 

10 years ago

Mwananchi

Mususa Mwenyekiti mpya MCL

>Mhasibu mzoefu nchini, Leonard Mususa ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL), akichukua nafasi ya Zuhura Muro.

 

10 years ago

Habarileo

Mdee Mwenyekiti mpya Bawacha

Halima MdeeMBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (Chadema), amepata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la chama hicho (Bawacha), baada ya kupata kura 165 kati ya kura 244 na kuwaacha wenzake mbali.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Patrobas mwenyekiti mpya Bavicha

PATROBAS Paschal amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, (Bavicha). Mwenyekiti huyo alichaguliwa katika uchaguzi uliyofanyika juzi usiku katika ukumbi wa Mlimani...

 

9 years ago

GPL

MISS TANZANIA YAPATA MWENYEKITI MPYA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundega akiongea na wanahabari (hawapo pichani). Kamati inayosimamia mashindano ya Miss Tanzania Lino International Agency imepata Mwenyekiti na wajumbe wapya watakaoandaa, kuratibu na kusimamia mashindano ya urembo ya Miss Tanzania.
Akiwatambulisha wajumbe hao mbele ya waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam, aliyekuwa Mwenyekiti wa kamati ya Miss Tanzania iliyomaliza...

 

10 years ago

Habarileo

Mugabe Mwenyekiti mpya AU, aeleza changamoto

Rais Robert Mugabe wa ZimbabweVIONGOZI wa Mataifa ya Afrika jana wamemchagua Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe kuwa Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Afrika (AU).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani