Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK. ZAINAB CHAULA: MSD MSIKUBALI KUTOA DAWA BURE

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia wazee na watoto Dk. Zainab Chaula akizungumza na Julieth Mselle Afisa Huduma kwa wateja kutoka MSD wakati alipotembelea katika banda la taasisi hiyo katika Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Tanzania ukumbi wa Julius Nyerere Posta. jijini Dar es salaamKatibu Mkuu wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia wazee na watoto Dk. Zainab Chaula akimsikiliza Julieth Mselle Afisa Huduma kwa wateja kutoka MSD wakati alipotembelea katika banda la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MSD YATAKAIWA KUTOA DAWA ZINAZOHITAJIKA

Vikundi mbalimbali vya wajasiriamali wa Vicoba, Saccos na wasindikajingozi waMji mdogo wa Mirerani Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara,wakiwa kwenye kongamanola uhamasishaji wa mpango wa bima ya afya kwa wajasiriamali na vikundivilivyosajiliwa (Kikoa)  Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Nchini (NHIF) Mkoani Manyara, Isaya Shekifu akizungumza jana katika kongamano la uhamasishaji wa mpango wa bima ya afya wa kikoa kwa wajasiriamali na vikundi vilivyosajiliwa Mji mdogo wa Mirerani...

 

5 years ago

Michuzi

DKT ZAINAB CHAULA, KATIBU MKUU MPYA AWASILI WIZARANI MAWASILIANO

❖ Asema TEHAMA Itatutoa Kwenye Changamoto, Tuitumie Kama Fursa
❖ Serikalini Ni Kama Nyumba, Amehamia Chumba Kingine
❖ Amewataka Wafanyakazi Wasiwe na Hofu kwa Kuwa Corona ni Mafua Tu

Na Prisca Ulomi, WUUM, Dodoma

Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Sekta ya Mawasiliano, Dkt. Zainab Chaula, amewasili rasmi leo Wizarani hapo Mji wa Serikali, Mtumba, Dodoma kwa mara ya kwanza tangu alipoteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Sekta hiyo mara baada ya kuhamishwa kutoka Wizara ya Afya,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali kutoa dawa za kisukari bure’

SERIKALI imesema itajitahidi kutenga fedha katika bajeti yake, ambazo zitatumika kununua dawa za maradhi ya kisukari itakazozigawa bure kwa wagonjwa. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana na Waziri...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, SAID SADIKI AIPONGEZA BOHARI YA DAWA (MSD) KWA KUTOA HUDUMA BORA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick, ameitaka  Bohari ya Dawa MSD kuendeleza kasi ya huduma zake za kupambana na ugonjwa wa malaria kwakuwa ni  moja ya taasisi  zilizo mstari wa mbele kupunguza vifo vitokanavyo na ugonjwa huo.Akizungumza jana katika banda la MSD ikiwa ni maadhimisho ya siku ya Malaria duniani Sadick alisema MSD imekuwa ikifanya jitihada kuhakikisha ugonjwa wa malaria unakoma na vifo vitokanavyo na ugonjwa huo vinapungua.Alisema jitihada hizo za MSD zimechangia...

 

10 years ago

GPL

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, SAID MECKY SADICK AIPONGEZA BOHARI YA DAWA (MSD) KWA KUTOA HUDUMA BORA‏

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akisaini kwenye kitabu cha wageni katika banda la Bohari ya Dawa (MSD), katika maonyesho ya kuadhimisha siku ya malaria yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana.  Ofisa wa Kitengo cha Udhibiti Ubora wa MSD, Richard Makalla (kulia), akimuelekeza jambo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki alipotembelea banda la MSD katika maadhimisho hayo. Kushoto ni Ofisa...

 

11 years ago

Michuzi

MSD yatoa utaratibu wa manunuzi ya dawa ndani ya bohari ya dawa

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifwani (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa kwa Umma kuhusu utaratibu wa manunuzi ndani ya bohari ya dawa. Kulia ni Mkurugenzi wa Manunuzi wa MSD, Heri Mchunga na Mwanasheria, Domonica Meena.

 

9 years ago

Michuzi

MSD kuweka nembo za Serikali kwenye dawa zake, wizi wa dawa kudhibitiwa

Serikali imeamua kuwa itahakikisha dawa zote katika Mahospitali na Vituo vya afya zinapatikana wakati wote. Na kama ambavyo ahadi hiyo imekuwa ikinadiwa na Rais Dkt. Magufuli katika kampeni zake, sasa ni hatua ya utekelezaji wa ahadi hii kwa wananchi umefikia wakati.

Katika kulitekeleza hilo, Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD),Cosmas Mwaifwani aliagizwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Donan Mmbando kwa niaba ya Rais, kuhakikisha kuwa dawa zote za Serikali zinakuwa na utambulisho...

 

11 years ago

Michuzi

POLISI YAAGIZWA KUSAKA DAWA ZA SERIKALI ZENYE NEMBO YA MSD KATIKA MADUKA YANAYOUZA DAWA BARIDI NCHINI KOTE.

"Haya Mheshimiwa Mbunge sasa nakata utepe kuzindua rasmi usambazaji dawa za serikali ulio chini ya MSD" ni Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Kebwe akishuhudiwa na Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Tibaijuka (Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini) . "Haya tupige makofi kwa pamoja kuashiria kukubali uzinduzi huu" Naibu Waziri Dk. Kebwe (Kulia), Waziri Prof. Tibaijuka (Katikati) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu MSD Bw. Mwaifwani.
Afisa Habari wa...

 

10 years ago

Mwananchi

MSD yaanza kusambaza dawa

>Bohari Kuu ya Dawa (MSD) imeanza kusambaza dawa katika hospitali mbalimbali nchini, baada ya kupokea kiasi cha Sh20 bilioni ambazo ni sehemu ya malipo ya deni linaloidai Serikali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani