Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dkt. Adelhelm James Meru aapishwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii

PIX 1

Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Gharib Bilal (kushoto) akimuapisha Dkt. Adelhelm Meru kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii leo Ikulu jijini Dar es Salaam.

PIX 2

Dkt. Adelhelm Meru (kulia) akila kiapo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii leo Ikulu jijini Dar es Salaam.

PIX 3

Dkt. Adelhelm Meru (kulia) akiweka saini katika Kitabu mara baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii leo Ikulu jijini Dar es Salaam.

PIX 4

Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe....

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILALA AMUAPISHA KATIBU MKUU WIZARA YA MALIASILI NA UTALII LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kaimu Rais Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimuapisha Dkt. Adelhelm James Meru kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye hafla fupi iliyofanyika leo Novemba 17,2014 Ikulu Dar es salaam. Makamu wa Rais na Kaimu Rais Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na utalii Dkt. Adelhelma James Meru wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuapishwa leo Novemba 17, 2014 Ikulu Dar es salaam.Makamu wa Rais...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU MPYA WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII AKABIDHIWA OFISI

  KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII DKT.ADELHELM  JAMES MERU AKIFANYA MAKABIDHIANO YA OFISI  NA ALIYEKUWA KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALISILI NA UTALII, BI. MAIMUNA  TARISHI YALIYOFANYIKA JANA JIONI TAREHE 17/11/2014  MPINGO HOUSE JIJINI DAR ES SALAAM.          
 Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Bi. Maimuna  Tarishi, akimkabidhi vitendea kazi  Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt.Adelhelm  James Meru, yaliyofanyika jana jioni tarehe...

 

10 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS AMUAPISHA KATIBU MKUU WIZARA YA MALIASILI NA UTALII LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kaimu Rais Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimuapisha Dkt. Adelhelm James Meru kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye hafla fupi iliyofanyika leo Novemba 17,2014 Ikulu Dar es salaam.
Makamu wa Rais na Kaimu Rais Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na utalii Dkt. Adelhelma James Meru wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya...

 

10 years ago

Michuzi

amemteua Dkt. Hamisi Hassan Mwinyimvua kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Hamisi Hassan Mwinyimvua  (pichani) kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, anayesimamia Menejimenti ya Fedha za Umma (Public Finance Management).

Kabla ya uteuzi wake, Dkt. Mwinyimvua alikuwa Msaidizi wa Rais wa muda mrefu wa masuala ya uchumi.

Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Yohana Sefue leo, Jumatatu, Februari 2, 2015, imesema kuwa uteuzi wa Dkt. Mwinyimvua ulianza...

 

10 years ago

Habarileo

Balozi Mulamula aapishwa kuwa Katibu Mkuu

RAIS Jakaya Kikwete amemwapisha Katibu Mkuu mpya, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula (pichani).

Aidha, katika sherehe fupi ya kuapishwa iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam jana, Rais Kikwete alimwapisha Balozi Hassan Simba Yahya kuwa Naibu Katibu Mkuu katika wizara hiyo.

Katika sherehe hiyo iliyohudhuriwa na Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, Rais Kikwete alimwapisha pia...

 

9 years ago

Michuzi

Hawa ndio majenerali walioteuliwa kuwa makatibu wakuu Wizara za Maliasili na Utalii na Mambo ya ndani ya nchi

Wakisubiri zamu zao za kula kiapo mbele ya Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ni Meja Jenerali Gaudence Salim Milanzi (kushoto) na Jaji, Wakili Mkuu Meja Jenerali Projest Anatory Rwegasira Ikulu jijini Dar es salaam leo January 1, 2016. Picha na IKULU

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA BW. GERALD MUSABILA KUSAYA KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimokatika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa March 6, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo baada ya kumuapisha Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa March 6, 2020
ais wa Jamhuri ya...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA GERALD MUSABILA KUSAYA KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimokatika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa March 6, 2020.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo baada ya kumuapisha Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa March 6, 2020 Rais wa Jamhuri ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani