Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DKT. MAGUFULI: WANANCHI WA MWANGA-KIKWENI-LOMWE KUTOBOMOLEWA NYUMBA ZAO

Mwandishi Wetu
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli ametangaza kutobomoa nyumba zilizopo kando kando ya barabara ya Mwanga-Kikweni/Vuchama-hadi Lomwe km 40.6 na kusema kuwa barabara hiyo itajengwa kwa kiwango cha lami kwa kutumia upana wake uliopo sasa hivi.

Dkt. Magufuli alitoa kauli hiyo ya faraja kwa wakazi wa Kikweni Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro kabla ya kuweka jiwe la msingi katika barabara ya Mwanga-Kikweni/Vuchama-Usangi hadi Lomwe(km 40) itakayojengwa kwa kiwango cha lami hivi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DKT.MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MWANGA-KIKWENI-VUCHAMA/LOMWE KM 40.6 MKOANI KILIMANJARO

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli ametangaza kutobomolewa nyumba zilizopo kando kando ya  barabara ya Mwanga-Kikweni/Vuchama-hadi Lomwe km 40.6 na kusema kuwa barabara hiyo itajengwa kwa kiwango cha lami kwa kutumia upana wake uliopo hivi sasa.Dkt. Magufuli alitoa kauli hiyo ya faraja kwa wakazi wa Kikweni Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro kabla ya kuweka jiwe la msingi katika barabara ya Mwanga-Kikweni/Vuchama-Usangi hadi Lomwe(km 40) itakayojengwa kwa kiwango cha lami hivi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal awajulia hali wananchi walioangukiwa na nyumba zao kwa upepo na mvua kubwa Msoga

4

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete (wa pili kulia), Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli na baadhi ya Viongozi, wakati alipowasili Kitongoji cha Mnazi Mmoja, Msoga jana kwa ajili ya kuwafariji wananchi waliokubwa na maafa kwa kuangukiwa na nyumba zao kutokana na Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha juzi. Katika tukio hilo jumla ya watu 12 walijeruhiwa na jumla ya nyumba 128...

 

5 years ago

Michuzi

DKT. MAGUFULI AWASALIMIA WANANCHI WA NZEGA TABORA PAMOJA NA WANANCHI WA SINGIDA




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mtoto aliyejulikana kwa jina moja la Rahma mara baada ya kuwasalimia Wananchi katika eneo la Mataa mkoani Singida. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Singida mjini (Kwenye Mataa) mara baada ya kuwasili wakati akitokea Nzega Mkoani Tabora. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza...

 

9 years ago

Michuzi

DKT JAKAYA KIKWETE AONGOZA MALFU YA WANANCHI KUFUNGA KAMPENI ZA DKT MAGUFULI JIJI LA DAR VIWANJA VYA JANGWANI

Mwenyeki wa chama cha Mapinduzi Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimnadi Mgombea Urais wa CCM Dt John Pombe Magufuli,mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Jangwani.
Mgombea Urais wa CCM Dkt Jonh Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa jiji la Dar es salam na Vitongoji vyake,katika uwanja wa Jangwani
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Dkt Jonhn Pombe akihutubia maelfu ya...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF ATEMBELEA KIJIJI CHA FUKUCHANI KUANGALIA MAAFA YALIYOWAKUMBA WANANCHI BAADA YA NYUMBA ZAO KUEZULIWA NA UPEPO MKALI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif kati kati aliyevaa suti ya kijivu jivu akiangalia athari iliyozikumba nyumba za Wakaazi wa Kijiji cha Fukuchani Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya upepo mkali wa ghafla uliovuma kwa adakika Tatu jana asubuhi. Kulia ya Balozi Seif ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Kanal Mstaafu Juma Kassim Tindwa na Kushoto yake ni Sheha wa Shehia ya Fukuchani Bwana Abdulla Mcha Ame. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akimkabidhi Mabati 1,000 ...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WA GAIRO WAMFAGILIA DKT. MAGUFULI

Rais Kikwete, Waiziri wa Ujenzi Dkt.Magufuli, Naibu Waziri wa Maji Amos Makalla, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Musa Iyombe, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Joel Bendera, M/Kiti Kamati ya Miundombinu Profesa Kapuya, M/kiti Bodi Mfuko wa Barabara Dr.Wanyancha, M/kiti Bodi ya Makandarasi Consolata Ngimbwa, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS) Mhandisi Mfugale na Wakandarasi wa mradi wa Magole - Turiani. Nyumba za Makandarasi zitakazokabidhiwa kwa wananchi wa Wilaya ya Mvomero...

 

5 years ago

Michuzi

SHILATU AKAGUA UJENZI NYUMBA YA MWALIMU,WANANCHI WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI


Na Mwandishi wetu Mihambwe
Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu amekagua ujenzi nyumba ya Mwalimu huku Wakazi wa Kijiji cha Mpunda kilichopo kata ya Michenjele wakimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwajengea nyumba ya kuishi Mwalimu katika shule ya msingi Mpunda.
"Tunamshuru Rais Magufuli kutuletea fedha za kujenga nyumba hii ya Mwalimu. Haijawahi kutokea tangu tupate Uhuru maendeleo haya ya kasi tunayoyaona. Pia tunamshukuru Afisa Tarafa Mihambwe kututembelea mara kwa...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DKT. MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI MBALIMBALI

NGALIA LIVE: RAIS DKT. MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI MBALIMBALI   

 

9 years ago

Michuzi

SHIWATA kugawa nyumba 14 Mkuranga, yampongeza Dkt. Magufuli kumteua Majaliwa Waziri Mkuu

 MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA)umeandaa mkutano wa wanachama wake Jumamosi kutangaza majina ya wanachama watakaokabidhiwa nyumba 13 na misingi ya nyumba 14 katika kijiji cha Mwanzega, Mkuranga.

Mwenyekiti wa SHIWATA,Cassim Taalib alisema jana Dar es Salaam jana kuwa mkutano huoutakaofanyika Ilala, Bungoni Dar es Salaam kuanzia saa 4 pia watatangazwa viongozi watakaoshika nafasi za uongozi zilizo wazi.

Nafasi za uongozi zilizo wazi ni Makamu Mwenyekiti iliyokuwa ikishikiliwa na ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani