DMV na New York watambiana kuwa kila timu wako gado
Timu kabambe ya DMV
Mazoezi yanaendelea kesho Alhamisi May 15, 2014 kwa maandalizi ya mechi na New York itakayofanyika Jumamosi May 24, 2014 kwenye Memorial Weekend ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzio.
Kikosi cha kwanza cha New York Team
Hiki ndicho kikosi kitakachoanza tarehe 24 jumamosi Memorial weekend. DC hawachomoki siku hiyo team itaingia DC mapema na kuwa mafichoni hili kupata fursa ya kupata massage maalum kwa kutumia mafuta ya karafuu mambo ya nakish nakish za kipwani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo13 Nov
JUMUIYA TA WATANZANIA DMV INAOMBA USHIRIKIANO WAKO KATIKA JUHUDI ZA KUPAMBANA NA EBOLA
JUMUIYA YA WATANZANIA DMV INAOMBA USHIRIKANO WAKO KATIKA JUHUDI ZA KUPAMBANA NA EBOLA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-T2kd8Glq57s/VX2Ym1_YckI/AAAAAAADrTY/tQQhf9Kzdis/s72-c/unnamed.jpg)
MSIBA NEW YORK NA TANZANIA. MAZIKO YANATARAJIWA KUWA JUMAPILI JUNE 28,NEW JERSEY,TUTAUAGA MWILI BRONX,NEW YORK. RATIBA HII ITATEGEMEA NA UKAMILIFU WA MICHANGO YETU TAFADHALI CHANGIA ILI TUKAMILISHE JUKUMU HILI KWA PAMOJA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-T2kd8Glq57s/VX2Ym1_YckI/AAAAAAADrTY/tQQhf9Kzdis/s320/unnamed.jpg)
Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania inaungana na Familia ya Magege kwa masikitiko kutangaza kifo cha marehemu Mzee Alfred Magege kilichotokea jumamosi June 13,2015. Marehemu Alfred Magege alisumbuliwa na Saratani ya mifupa kwa zaidi ya miaka kumi.Marehemu ameacha Mke na watoto watatu. Kama kawaida yetu tunaombwa watanzania tujitokeze ili kuwafariji wafiwa.Ili tukamilishe Msiba huu kiasi cha $10,000 kinahitajika.Watanzania...
11 years ago
MichuziNEW YORK YAPATA KIPIGO CHA MBWA MWIZI, YAPACHIKWA 5-0 NA DMV, PBZ WADHAMINI MECHI HIYO
Timua New York siku ya Jumamosi ilizima fegi mbele ya timu ya DMV kwenye mtanange uliokuwa ukisubiliwa kwa hamu na mashabiki wa DMV wakiongozwa na wachezaji wa timu zote mbili kwa kutambiana kwenye mitandao ya kijamii kabla ya mtanange huo kuhitimishwa hapo jana siku ya Jumamosi May 24, 2014 katika uwanja wa Walker Mills Park uliopo Capitol Heights.
Mbali na mechi hiyo kuwa nzuri...
10 years ago
Bongo517 Sep
New Music: Dogo D — Siwezi Kuwa wako
11 years ago
Michuzi22 Jul
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-d5WIUs01U-I/U46cnOzTsJI/AAAAAAAAEZs/fASURbzZWPc/s72-c/BRAZIL_2014_ORIJINO11.png)
PATA VIKOSI VYA KILA TIMU KATIKA KOMBE LA DUNIA 2014
![](http://2.bp.blogspot.com/-d5WIUs01U-I/U46cnOzTsJI/AAAAAAAAEZs/fASURbzZWPc/s1600/BRAZIL_2014_ORIJINO11.png)
KUNDI A Brazil
![](http://1.bp.blogspot.com/-lOMXS3zNTd8/U46isavs4uI/AAAAAAAAEZ8/Kg9XV6cIw20/s1600/Brazil-Squad.jpg)
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Fainali za Kombe la Dunia 2014: Udhaifu, wasiwasi wa kila timu itakayoshiriki
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JWVmD*3ooUcet2swCQ652IOo6PJoMbX0oApFA*1YeqwrNk-*52xZ9eG1VUr2liIUnA91fHUqsLlFhmsl0EP0tvuCTsZxFgKM/001.Ferrao.jpg?width=650)
VODACOM YAZITAKIA KILA LA HERI TIMU ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU TANZANIA BARA
10 years ago
Mwananchi02 Nov
Unafahamu kuwa ‘high heels’ inaweza kuongeza mvuto wako