DOKTA FADHILI AMPA ZAWADI ZARI
![](http://api.ning.com:80/files/-HoKvkav3sxtekX4GWry7lnIHtLW7ycUDxVuIl1W4J3u1eiOYGF6lSjZeGj4M16fhXifuk*4taQ9DWs7ykAKYwAdhewxE9ud/Zari.jpg?width=650)
Mwandishi wetu DAKTARI wa Kitengo cha Sayansi na Tiba Asili kilichopo Mbezi-Afrikana, Dokta Fadhili Emily, amemnunulia baiskeli ya kubebea mtoto, mpenzi wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kama zawadi pindi atakapojifungua. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko akiwa nchini Sweden alikoenda kwa ziara binafsi, Dokta Fadhili alisema kwa kutambua yeye ni mtu wa Kigoma anakotokea...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dm99ly9wi658u*FB3AW*z2Hfh-7IdPftaqCvrglO0cg*WcJmp0fHeMfYHo0NXuuqpvUpq-gtkgStr6-ghyBrtblwwqZBS21y/DK.Fadhili.gif?width=650)
DOKTA FADHILI KUTUA BONGO
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qeusznqd6YmXyIaKf5VCexG0XGIcjo6BE9U*GctFlXbgyqGwgPeUlHJq57NMNV02K1DxssRFRqHUcHYVxr9dqP7xGcpEkysf/DkFadhili.gif?width=650)
DK. FADHILI KUMWAGA ZAWADI KWA WASOMAJI
9 years ago
GPL16 Oct
DK. FADHILI AAHIDI ZAWADI WASOMAJI MAGAZETI PENDWA
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-why5eiBTy4I/VOLcxxBXOfI/AAAAAAAAAMg/Bm6xRV4Td0U/s72-c/zz.jpg)
ZARI AMPA MAKAVU SEPETUNGA WEMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-why5eiBTy4I/VOLcxxBXOfI/AAAAAAAAAMg/Bm6xRV4Td0U/s640/zz.jpg)
Mbali na watu kadhaa ambao wamejinasibisha mitandao kuwa wao hawayapendi mahusiano ya Zari na Diamond kusambaza mtandaoni picha ya Zari ikiwa na maneno ya kejeli kuhusu mimba aliyonayo, Wema nae alishiriki kuiweka picha hiyo yenye maneno ya kejeli yanayosomeka ‘Mimba My Foot”kama yanavyosomeka kwenye...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3QgTREgG9e-WnHzzAdYCvu7AEtaoqBxw8eVtw3ayuqddmxYqc2d42Gzkd5F07-vjJEedYdsLgisIZc1ag4t605FTPjrY5V53/FRONTIJUMAA.jpg)
ZARI AMPA DIAMOND GARI LA MIL.500
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AMPA ZAWADI JENERALI SARAKIKYA
9 years ago
Mtanzania15 Dec
Kanye West ampa Kim bonge la zawadi
NEW YORK, MAREKANI
BAADA ya Kim Kardashian na Kanye West kupata mtoto wao wa pili ‘Saint’, mkali huyo wa hip hop ameamua kumpa zawadi mke wake ya Sh bilioni 2.
Msanii huyo ameamua kuonesha jeuri ya fedha ikiwa ni shukrani kwa mke wake kwa ajili ya kumzalia mtoto wa pili.
Kanye alifanya hivyo ikiwa ni siku chache tangu Kim ajifungue mtoto huyo ambaye kwa sasa amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa mujibu wa Jarida la People la Marekani, limeandika kwamba Kanye amekuwa mtu wa furaha...
10 years ago
BBCSwahili03 Aug
Ronaldo ampa wakala wake zawadi ya kisiwa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4Ejr0qlHpqJ8ppxSrirjueMVS1BvZ24xvBNAo71s*5mKssQzN7exLI54aHj8cTPMTFoOEXvMWTw9T-8UHFnew3cnfa1Y2Asf/STVEN.jpg?width=650)
STEVE NYERERE AMPA JK ZAWADI YA BETHIDEI YAKE