Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ronaldo ampa wakala wake zawadi ya kisiwa

Bilionea wa kilabu ya Real Madrid nyota Cristiano Ronaldo amempa wakala wake Jorge Mendes kisiwa kimoja cha Ugiriki kama zawadi yake ya harusi kulingana na vyombo vya habari.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DOKTA FADHILI AMPA ZAWADI ZARI

Mwandishi wetu
DAKTARI wa Kitengo cha Sayansi na Tiba Asili kilichopo Mbezi-Afrikana, Dokta Fadhili Emily, amemnunulia baiskeli ya kubebea mtoto, mpenzi wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kama zawadi pindi atakapojifungua. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko akiwa nchini Sweden alikoenda kwa ziara binafsi, Dokta Fadhili alisema kwa kutambua yeye ni mtu wa Kigoma anakotokea...

 

9 years ago

Mtanzania

Kanye West ampa Kim bonge la zawadi

Grand Opening of RYU Restaurant - InsideNEW YORK, MAREKANI

BAADA ya Kim Kardashian na Kanye West kupata mtoto wao wa pili ‘Saint’, mkali huyo wa hip hop ameamua kumpa zawadi mke wake ya Sh bilioni 2.

Msanii huyo ameamua kuonesha jeuri ya fedha ikiwa ni shukrani kwa mke wake kwa ajili ya kumzalia mtoto wa pili.

Kanye alifanya hivyo ikiwa ni siku chache tangu Kim ajifungue mtoto huyo ambaye kwa sasa amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii.

Kwa mujibu wa Jarida la People la Marekani, limeandika kwamba Kanye amekuwa mtu wa furaha...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AMPA ZAWADI JENERALI SARAKIKYA

Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi zawadi ya gari Mkuu wa Majeshi wa kwanza Mzalendo Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya wakatiu wa hafla ya kuwatunuku kamisheni maafisa wapya wa jeshi katicha chuo cha Momduli jana.Kushoto ni Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange.Jenerali Sarakikya amekabidhiwa zawadi hiyo kwa kutambua mchango wake mkubwa kwa kujenga misingi imara ya jeshi la Wananchi wa Tanzania lenye weledi na nidhamu ya hali ya juu(picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE AMPA JK ZAWADI YA BETHIDEI YAKE

Stori: Ojuku Abraham
WAKATI Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumanne wiki hii alisherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 64,  Mchekeshaji Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, Jumatano iliyopita alimpa zawadi baada ya kumvunja mbavu wakati wa hafla ya makabidhiano ya Katiba Mpya Inayopendekezwa iliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.… ...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kevin de Bruyne amkera wakala wake

Wakala Wolfsburg Kevin de Bruyne akerwa na Patrick de Koster baada ya mchezaji huyo kuzungumzia mipango yake ya baadaye .

 

10 years ago

CloudsFM

MWANAFUNZI AMPA UJAUZITO MWALIMU WAKE

WAKATI ikiwa imezoeleka kuwa baadhi ya walimu wa kiume huwarubuni wanafunzi wao wa kike na hata kuwaharibia kabisa ndoto zao za kielimu kutokana na kuwapa ujauzito, hali imekuwa tofauti mkoani Rukwa ambako mwanafunzi wa Kidato cha Pili anadaiwa kumzalisha mwalimu wake.
Mwanafunzi huyo aliyemzalisha mwalimu wake ana umri wa miaka 17, wakati mwalimu huyo anayefundisha katika Shule ya Sekondari ya Umma ya Nkasi, iliyopo mwambao mwa Ziwa Tanganyika wilayani Nkasi, Rukwa, ana umri wa miaka 25.

...

 

10 years ago

Mtanzania

Tyga ampa gari mpenzi wake Kylie

Tyga na Kylie-JennerNEW YORK, Marekani

NYOTA wa muziki nchini Marekani, Tyga juzi amemnunulia mpenzi wake, Kylie Jenner, gari aina ya Mercedes G Wagon, kama zawadi ya kukumbuka siku yake ya kuzaliwa.

Mrembo huyo juzi alitimiza miaka 18 juzi. Zawadi hiyo ilimshtua kutokana na kutotegemea kupata zawadi kama hiyo kutoka kwa mpenzi huyo.

“Ni bonge la zawadi kwa upande wangu, sikutarajia kupokea zawadi kama hii, Tyga ameonesha upendo wa dhati kutoka kwangu,” alisema Kylie.

 

10 years ago

Bongo5

Chris Rock ampa talaka mke wake wa miaka 20

Mchekeshaji na muigizaji maarufu wa nchini Marekani, Chris Rock amempa talaka mke wake aliyedumu naye kwa kipindi cha miaka 20. Malaak Compton-Rock alitoa maelezo Jumapili hii kupitia jarida la People akisema: “After much contemplation and 19 years of marriage, Chris and I have decided to go our separate ways.” “While recognizing that this is a […]

 

10 years ago

Vijimambo

NYATU NYATU MENGI NA MKE WAKE KY_LYNN WAMEFUNGA HARUSI KWENYE KISIWA HIKI

Hiki ni kisiwa cha Mauritius moja ya visiwa vinavyovutia dunia ndipo chaguo la Bwana Mengi kwa ajili ya harusi yake na Beautiful Onyenyi wake Ky_Lynn pamoja na watoto wao mapacha wawili. Wapo watu walipata nafasi ya kuhudhuria harusi hii ukiachia watoto aliozaa na bi mkubwa ndiyo hawakuweza kupa mwaliko wa kuwepo kwenye harusi hii, hizo ni nyatu nyatu za mjini inasemekana harusi hiyo imefanyika jumamosi ya tarehe 28 ndani ya viunga ya kisiwa hiki huko Mauritius.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani