Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DOLLAR TANZANIA INAPAA SIKU HADI SIKU

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KWA MTAJI HUU NDUGU ZETU PALE TANZANIA TUTAENDELEA KUWAPOTEZA SIKU HADI SIKU

 Hii inaonyesha kuwa madereva wa Tanzania siyo watu wenye kuelewa umuhimu wa uhai wa abiria.Unaweza kuona hapa line za katikati zinaonyesha kabisa utakiwi kufanya hili unaloliona hapa 

 

9 years ago

Vijimambo

SHEREHE ZA EID AL HAJJ NEW YORK SIKU YA SEPTEMBER 24 SIKU YA ALHAMIS KUANZIA SAA 7 MCHANA HADI 4 USIKU


Jumuiya ya Waislam Watanzania wa NY, NJ, CT MA, PA na DE (NEMTA) ina furaha kuwaalika Watanzania wote wanaishio katika majimbo tajwa kuhudhuria tafrija ya kusherehekea Eid Al Hajj. Ndugu waalikwa tunawaomba kufika kwa wakati ili tuweze kufaidika na kuwafaidisha watoto wetu kusherehekea siku hii adhimu. Kuhudhuria kwako itakuwa ni ushirikiano mkubwa katika kufanikisha sherehe hii. Mahala husika ambapo sherehe itafanyika ni Madina Hall Kuanzia saa 7 Mchana hadi 4 usiku  Watanzania wote...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NEEMA JUMANNE: Mwanasarakasi anayeshiriki michezo hadi siku ya kujifungua

MABADILIKO katika mwili wa mwanamke anapokuwa na ujauzito ni jambo lisiloepukika, kwani wengi wao hubadilika pindi wanapobeba ujauzito, ambako wapo wanaomudu kuzikabili changamoto zitokanazo na hali hiyo katika namna ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MASJID KUBAH NA MADRASAT RAHMAN SEGEREA INAWAKARIBISHA KATIKA MAULID SIKU 9 HADI 10 MAI 2015

Tunawataarifu waislamu wote kuwa tutakuwa na shughuli Haulia ya kisomo cha maulid ya kumsalia mtume Muhammad (s.w.a) katika Msikiti wa masjid Kubah na Madrasat Rahman ,Segerea mwisho,Tabata Dar-es-salaam siku ya 9 na 10 Mai 2015 mnakaribishwa wote na madrsa wanazotaka kushiriki tafadhali pigeni simu na. 0767617961 au 0712840960 pia 0777000036 karibu sana.
Ungana nasi at https://www.facebook.com/profile.php?id=100006405199429

 

9 years ago

Bongo5

Diamond: Nyimbo na Video ninazoenda kuachia mwaka huu zitakuwa ni historia hadi siku ntapozikwa!

Diamond ni miongoni mwa wasanii ambao waliahidi kuachia kazi mpya baada ya uchaguzi, na kati ya kazi alizofanya, inayosubiriwa kwa hamu zaidi ni wimbo aliomshirikisha staa wa RnB kutoka Marekani, Ne-Yo.

diamond p

Mpaka sasa bado haijafahamika ni wimbo/nyimbo gani atakazotangulia kuachia, kutokana na style yake ya kufanya vitu kimya kimya mpaka dakika za mwisho akiwa na kila kitu mkononi ndio huwa anaanza kutoa ishara.

Platnumz jana (Nov.9) aliandika post ambayo ni kama ishara ya kuwaandaa mashabiki...

 

10 years ago

Mwananchi

Kutembea kwa dakika 20 kila siku, huongeza siku za kuishi

Kulingana na maendeleo ya sayansi na teknolojia, mtindo wa maisha umebadilika ikiwamo watu wengi kutumia usafiri wa magari hata kwa safari ya umbali mfupi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani