MASJID KUBAH NA MADRASAT RAHMAN SEGEREA INAWAKARIBISHA KATIKA MAULID SIKU 9 HADI 10 MAI 2015

Tunawataarifu waislamu wote kuwa tutakuwa na shughuli Haulia ya kisomo cha maulid ya kumsalia mtume Muhammad (s.w.a) katika Msikiti wa masjid Kubah na Madrasat Rahman ,Segerea mwisho,Tabata Dar-es-salaam siku ya 9 na 10 Mai 2015 mnakaribishwa wote na madrsa wanazotaka kushiriki tafadhali pigeni simu na. 0767617961 au 0712840960 pia 0777000036 karibu sana.
Ungana nasi at https://www.facebook.com/profile.php?id=100006405199429
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
MASJID KUBAH NA MADRASAT RAHMAN SEGEREA, DAR INAWAKARIBISHA KATIKA MAULID TAREHE 9 HADI 10 MEI 2015
.jpg)
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
Michuzi.jpg)
maalim seif mgeni rasmi maulid yaliyoandaliwa na madrasat Muumin Islamiya ya Mwembeshauri.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amesema wakati umefika kwa Wizara ya Katiba na Sheria kuandaa sera itakayozingatia maslahi ya walimu wa madrasa, ili kuthamini juhudi zao za kuwafundisha watoto.
Amesema walimu wa madrasa wana kazi kubwa ya kuisaidia jamii katika malezi na kuwajenga watoto kimaadili, hivyo hakuna budi kuthaminiwa kwa kazi hiyo ambayo muda wote wamekuwa wakiifanya kwa kujitolea. Akizungumza katika hafla ya maulid ya kuzaliwa kwa Mtume...
11 years ago
Vijimambo.jpg)
MADRASA RAHMAN SEGEREA INAWAPA MKONO WA EID MUBARAK
.jpg)
usikose kujumuika
simu +255(0) 757 608303 au 0712840960
11 years ago
Michuzi.jpg)
MADRASA RAHMAN YA SEGEREA JIJINI DAR INAWAPA MKONO WA EID MUBARAK
.jpg)
11 years ago
Michuzi.jpg)
Salam za Nane Nane kutoka Rahman Nursery School,Segerea jijini Dar
.jpg)
.jpg)
11 years ago
MichuziCHEDI BENZI AKOSA DHAMANA, KUSOTA SEGEREA HADI NOVEMBA 11, 2014
Msanii wa Hip Hop, Rshid Makwiro ‘Chidi...
10 years ago
Michuzi
VETA YASHIRIKI MAONESHO YA ELIMU YA UFUNDI KATIKA MKUTANO WA KWANZA WA KAMATI YA WATAALAM WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA UNAOFANYIKA KATIKA OFISI ZA UMOJA WA AFRIKA JIJINI ADDIS ABABA, ETHIOPIA TAREHE 27 HADI 31 OKTOBA,2015



10 years ago
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania