Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Qaswida - Ramadhani (Madrasat Rahman Njiro-Arusha)

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MASJID KUBAH NA MADRASAT RAHMAN SEGEREA INAWAKARIBISHA KATIKA MAULID SIKU 9 HADI 10 MAI 2015

Tunawataarifu waislamu wote kuwa tutakuwa na shughuli Haulia ya kisomo cha maulid ya kumsalia mtume Muhammad (s.w.a) katika Msikiti wa masjid Kubah na Madrasat Rahman ,Segerea mwisho,Tabata Dar-es-salaam siku ya 9 na 10 Mai 2015 mnakaribishwa wote na madrsa wanazotaka kushiriki tafadhali pigeni simu na. 0767617961 au 0712840960 pia 0777000036 karibu sana.
Ungana nasi at https://www.facebook.com/profile.php?id=100006405199429

 

10 years ago

Michuzi

MASJID KUBAH NA MADRASAT RAHMAN SEGEREA, DAR INAWAKARIBISHA KATIKA MAULID TAREHE 9 HADI 10 MEI 2015

 Tunawataarifu waislamu wote kuwa tutakuwa na shughuli Haulia ya kisomo cha maulid ya kumsalia mtume Muhammad (s.w.a) katika Msikiti wa masjid Kubah na Madrasat Rahman ,Segerea mwisho,Tabata Dar-es-salaam tarehe  9 na 10 Mei 2015

Ratiba ya shughuli kuanzia asubuhi ya Jumamosi 9 Mei 2015 kisomo cha kinamama (wanawake) mchana kutakuwa na madrasa na kisomo cha wanafunzi  jioni hadi siku ya 10 Mai 2015 Kisomo cha haulia na Maulidi mnakaribishwa wote na madrsa wanazotaka kushiriki tafadhali pigeni...

 

10 years ago

Dewji Blog

RC Arusha afungua maonesho ya wakulima na wafugaji Njiro

Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima Kanda ya Kaskazini (TASO), Arthur Kitonga akisoma taarifa ya Taso inayojumuisha mikoa ya Kilimanjaro, Manyara na Arusha. Mkuu wa Mkoa wa Manyara ambao ni wanachama wa TASO Kanda ya Kaskazini, Mh. Joel Bendera akisistiza jambo kwenye mkutano wa ufunguzi uliofanyika kwenye viwanja ya Nanaenane Njiro jijini Arusha, anayesikiliza kwa makini ni Mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda (wa pili kushoto). Meneja wa Shama la Mbegu la Serikali mkoa wa Arusha,...

 

10 years ago

Habarileo

Kesi ya Mkuu wa Chuo Njiro yaahirishwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, imeahirisha kesi inayomkabili Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Njiro (IAAA), Johannes Monyo na wenzake 10 na kuipanga leo kwa ajili ya washitakiwa kusomewa maelezo ya awali.

 

10 years ago

AllAfrica.Com

Grave Concern Over Cemetery Shift to Njiro


Grave Concern Over Cemetery Shift to Njiro
AllAfrica.com
Members of the Muslim Community in Arusha have moved in to block the planned shifting of nearly 3000 human bodies, buried within the Levolosi Cemetery here, saying the city council has no authority to do so. Armed with official documents to substantiate ...

 

10 years ago

Michuzi

Qaswida

Qaswida

 

11 years ago

Michuzi

maalim seif mgeni rasmi maulid yaliyoandaliwa na madrasat Muumin Islamiya ya Mwembeshauri.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amesema wakati umefika kwa Wizara ya Katiba na Sheria kuandaa sera itakayozingatia maslahi ya walimu wa madrasa, ili kuthamini juhudi zao za kuwafundisha watoto.  Amesema walimu wa madrasa wana kazi kubwa ya kuisaidia jamii katika malezi na kuwajenga watoto kimaadili, hivyo hakuna budi kuthaminiwa kwa kazi hiyo ambayo muda wote wamekuwa wakiifanya kwa kujitolea. Akizungumza katika hafla ya maulid ya kuzaliwa kwa Mtume...

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

Qaswida ~ Wajibu wa Wanaume

Qaswida ~ Wajibu wa Wanaume

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani