RC Arusha afungua maonesho ya wakulima na wafugaji Njiro
Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima Kanda ya Kaskazini (TASO), Arthur Kitonga akisoma taarifa ya Taso inayojumuisha mikoa ya Kilimanjaro, Manyara na Arusha.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara ambao ni wanachama wa TASO Kanda ya Kaskazini, Mh. Joel Bendera akisistiza jambo kwenye mkutano wa ufunguzi uliofanyika kwenye viwanja ya Nanaenane Njiro jijini Arusha, anayesikiliza kwa makini ni Mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda (wa pili kushoto).
Meneja wa Shama la Mbegu la Serikali mkoa wa Arusha,...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji
![IMG_0113](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_0113.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Ndm8pi5dkOI/default.jpg)
9 years ago
Michuzi02 Sep
WAKULIMA NA WAFUGAJI CCM
Bi. Suluhu ametoa kauli hiyo alipokuwa akinadi ilaya ya CCM katika Majimbo mawili tofauti ya Kongwa na Chilonwa Mkoa wa Dodoma ikiwa ni mwendelezo wa ziara zake za kufanya kampeni...
10 years ago
Habarileo30 Aug
Wakulima, wafugaji wapigana Same
KUMEZUKA mapigano baina ya wafugaji na wakulima katika kijiji cha Jiungeni Lolokai, kata ya Ruvu wilayani Same na tayari wakulima wanne wamejeruhiwa vibaya na silaha za jadi, na mmoja kukimbizwa katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC kwa matibabu zaidi.
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Mgogoro wakulima, wafugaji waendelea
WAKULIMA wa Wilaya ya Kiteto, Manyara, wameomba serikali iwape kibali cha kuwaondoa wafugaji kama yenyewe serikali imeshindwa kutatua mgogoro huo ambao umedumu kwa miaka mingi. Wakulima walitoa kauli hiyo juzi...
9 years ago
Raia Mwema06 Jan
Kizungumkuti migogoro ya wakulima na wafugaji
KUTOKUBALIANA kuhusu chanzo cha migogoro ya wakulima na wafugaji miongoni mwa wadau kumeelezwa ku
Mwandishi Wetu
10 years ago
Tanzania Daima23 Oct
Wakulima, wafugaji wauana Kigoma
WATU watatu wamefariki dunia na wengine hawajulikani walipo baada ya kuibuka mapigano ya kugombania ardhi yaliyowahusisha wafugaji na wakulima katika Kijiji cha Minyinya Kata ya Nyamtukuza Wilaya ya Kakonko mkoani...
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Wakulima, wafugaji vitani Kiteto
MZAHA na uzembe unaodaiwa kufanywa na baadhi ya viongozi wilayani Kiteto na mkoani Manyara katika kusuluhisha mgogoro wa wafugaji na wakulima, umesababisha mauaji ya watu zaidi ya 13 usiku wa...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jan
Wakulima, wafugaji waungana kumzomea RC
MKUU wa Mkoa (RC) wa Manyara, Erasto Mbwilo, juzi alijikuta katika wakati mgumu baada ya wakulima na wafugaji kumtuhumu kwa kukuza migogoro ya mauaji kati yao wilayani Kiteto. Mbali na...