Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Salam za Nane Nane kutoka Rahman Nursery School,Segerea jijini Dar

Shule ya chekechea na madrasa  Rahman ya Segerea jijini Dar-es-salam inatoa salam za sikuu ya Nane Nane kwa wadau na waTanzania wote.Karibuni sana tupo segerea mwisho.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SALAM ZA NANE NANE KUTOKA NGOMA AFRICA BAND AKA FFU

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band yenye makao yake kule Ujerumani,inatoa salam maalumu za sikuu ya nane nane kwa wadau wote walio nyumbani Tanzania na nje. Sikuu kuu ya nane nane ambayo mwaka huu 2014 inafanyika kitaifa mkoani Lindi. Kikosi cha Ngoma Africa band aka FFU ughaibuni kinawatakia kila la heri na baraka katika Nane Nane oyeeee!!!! Usikose kupata burudani at http://www.ngoma-africa.com au www.ngoma-africa.com

 

11 years ago

KwanzaJamii

Safari ya Wakulima Kutoka ‘Saba Saba’ Dar 1977 Hadi ‘Nane Nane’ Dodoma 2014

Na Daniel Mbega, Iringa NAUKUMBUKA mwaka 1978 vizuri sana, kwani wakati huo nilikuwa bado kijana mdogo, nikiwa nimetinga lubega, sime kiunoni, fimbo mkono wa kulia na mkuki mkono wa kushoto, nikichunga ng’ombe huko ‘Tanganyika’, ambako maendeleo ndiyo kwanza tulikuwa tukiyasikia kupitia Redio Tanzania (kwa wale waliokuwa na redio za mkulima). Maendeleo ulikuwa msamiati mgeni kabisa, huku zikiwa kama simulizi ambazo hazikuwa na tofauti na zile za akina babu walizokuwa wakitupigia nyakati za...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AFUNGA MAONYESHO YA NANE NANE JIJINI MBEYA LEO

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na wakulima na wananchi wa  mikoa ya Kanda ya Nyanda za juu kusini wakati akifunga maonesho ya sherehe za wakulima Nanenane katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya Agost 8 ,2015b .Picha Jamiimojablog.Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akizungumza katika sherehe hizo za wakulima Nanenaneb Kanda ya Nyanda za juu kusini katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.wananchi na wakulima wa mikoa ya Kanda ya Nyanda za juu kusini wakimsikiliza...

 

11 years ago

Michuzi

AZANIA BANK ILIVYOSHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE JIJINI ARUSHA

Afisa Masoko wa Kanda ya kaskazini wa Benki ya Azania ,Bhoke Makore akizungumza na baadhi ya wananfunzi waliotembelea banda la Azania Benki katika maonesho ya Nane nane kanda ya ksakazini yaliyofanyika katika viwanja vya Themi jijini Arusha.Mmoja wa Staff wa Azania Bank tawi la Arusha Jovin Joseph  akitoa ufafanuzi kwa mmoja wa wateja waliotembelea banda la Bank hiyo katika viwanja vya Nane nane.Afisa Masoko wa Kanda ya kaskazini wa Benki ya Azania ,Bhoke Makore akizungumza na baadhi ya...

 

10 years ago

Michuzi

MADRASA RAHMAN YA SEGEREA JIJINI DAR INAWAPA MKONO WA EID MUBARAK

Madrasa Rahaman na Nurysery School iliyopo Segerea mwisho jiji Dar-Es-Salaam,inawatakia waumini wote Eid Mubarak.Mnakaribishwa sana Madrasa  Rahaman na Nurysery School kituo kinachotoa Elimu yenye maadili mema kwa watoto. Eid Mubarak. usikose kujumuika nasi kwa simu +255(0) 757 608303 au 0712840960

 

11 years ago

Michuzi

Maonyesho ya Nane Nane jijini Arusha

Ofisa mahusiano wa shirika lisilo la kiserikali la Farm Africa, Goodness Mrema (kushoto) akiangalia uyoga uliohifadhiwa kitaalamu na mkulima wa uyoga wa kijiji cha Bashnet wilayani Babati, Rahabu Manase, kwenye maonyesho ya wakulima nane nane, viwanja vya Themi jijini Arusha jana (katikati) ni Ofisa miradi wa misitu na masoko wa shirika hilo, Hakam Mohamed. Watanzania wenye asili ya bara la Asia wakinunua mafuta ya ufuta kwenye banda la shirika la Farm Africa, katika maonyesho ya wakulima...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YAIBUKA KIDEDEA MAONYESHO YA NANE NANE MWAKA HUU

 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho kikwete akimkabidhi Mtendaji Mkuu wa NMB Bi Ineke Bussemaker kikombe cha mshindi wa pili kundi la taasisi za kibenki zilizoshiriki maonesho ya Nane nane Kitaifa 2015 katika viwanja vya Ngongo Lindi.

 Wafanyakazi wetu wakifurahia ushindi baada  ya kuibuka kidedea  katika kundi la taasisi za kibenki zilizoshiriki maonesho ya Nanenane Morogoro

 Wafanyakazi wa NMB  wakifurahia ushindi baada  ya kuibuka kidedea  katika kundi la taasisi za...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF WAIBUKA WASHINDI KWENYE MAONYESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI

Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti NHIF akipokea Kikombe cha Ushindi wa Kwanza kundi la Mifuko ya Jamii Toka kwa Rais Jakaya Kikwete,kushoto na Kulia kwa Rais wakishuhudia tukio hilo Ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Mwantumu Mahiza na Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika,Stephen Wassira katika Ufungaji wa Maonesho hayo katika Viwanja Vya Ngongo LindiMeneja wa Mfuko wa NHIF Mkoa wa Lindi,Fortunata Kullaya(Alieshika kikombe)Kwa Pomoja na Mkurugenzi wa Masoko ,Rehani Athumani (kulia) na Grace Kisinga...

 

10 years ago

Michuzi

SSRA katika maonesho ya Sherehe ya wakulima (NANE NANE) Mkoani Morogoro

Afisa uhusiano mwandamizi Bw. Fulgence Sebera akitoa maelezo ya shughuli za Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) kwa Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Majid Mwanga (wa tatu kulia) aliyeambatana na viongozi wengine wa TASO walipotembelea banda la SSRA katika sherehe za maonesho ya wakulima Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere mkoani Morogoro.Mch. Vernon Fernandes (aliyekaa) alipotembelea banda la SSRA katika maonesho ya Nanenane Morogoro,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani