Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AZANIA BANK ILIVYOSHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE JIJINI ARUSHA

Afisa Masoko wa Kanda ya kaskazini wa Benki ya Azania ,Bhoke Makore akizungumza na baadhi ya wananfunzi waliotembelea banda la Azania Benki katika maonesho ya Nane nane kanda ya ksakazini yaliyofanyika katika viwanja vya Themi jijini Arusha.Mmoja wa Staff wa Azania Bank tawi la Arusha Jovin Joseph  akitoa ufafanuzi kwa mmoja wa wateja waliotembelea banda la Bank hiyo katika viwanja vya Nane nane.Afisa Masoko wa Kanda ya kaskazini wa Benki ya Azania ,Bhoke Makore akizungumza na baadhi ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TAHA ILIVYOSHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE MBEYA



Afisa kilimo Mkoa wa Mbeya (Aliyevaa tai) akipokea maelezo ya kilimo cha mboga ndani ya hema maalumu ya kuoteshea nyanya iliyowekwa na Barton Tanzania kwa ushirikiano na TAHAAfisa kilimo Mkoa wa Mbeya (Aliyevaa tai) akipokea maelezo ya kilimo cha mboga ndani ya hema maalumu ya kuoteshea nyanya iliyowekwa na Barton Tanzania kwa ushirikiano na TAHA  katika viwanja vya John Mwakangale jijini MbeyaAfisa Kilimo na Msimamizi wa ofisi ya TAHA ukanda wa Nyanda za Juu Kusini Bw. Ringo (Mwenye Jaketi jekundu) akifafanua juu ya matumizi bora ya teknoloji za kisasa kwenye kilimo cha mboga ili kuongeza tija kwa MkulimaAfisa Kilimo na Msimamizi wa ofisi ya TAHA ukanda wa Nyanda za Juu Kusini Bw. Ringo (Mwenye Jaketi jekundu) akifafanua juu ya matumizi bora ya teknoloji za kisasa kwenye kilimo cha mboga ili kuongeza tija kwa Mkulima katika viwanja vya John Mwakangale jijini...

 

11 years ago

Michuzi

Maonyesho ya Nane Nane jijini Arusha

Ofisa mahusiano wa shirika lisilo la kiserikali la Farm Africa, Goodness Mrema (kushoto) akiangalia uyoga uliohifadhiwa kitaalamu na mkulima wa uyoga wa kijiji cha Bashnet wilayani Babati, Rahabu Manase, kwenye maonyesho ya wakulima nane nane, viwanja vya Themi jijini Arusha jana (katikati) ni Ofisa miradi wa misitu na masoko wa shirika hilo, Hakam Mohamed. Watanzania wenye asili ya bara la Asia wakinunua mafuta ya ufuta kwenye banda la shirika la Farm Africa, katika maonyesho ya wakulima...

 

10 years ago

Michuzi

SSRA katika maonesho ya Sherehe ya wakulima (NANE NANE) Mkoani Morogoro

Afisa uhusiano mwandamizi Bw. Fulgence Sebera akitoa maelezo ya shughuli za Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) kwa Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Majid Mwanga (wa tatu kulia) aliyeambatana na viongozi wengine wa TASO walipotembelea banda la SSRA katika sherehe za maonesho ya wakulima Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere mkoani Morogoro.Mch. Vernon Fernandes (aliyekaa) alipotembelea banda la SSRA katika maonesho ya Nanenane Morogoro,...

 

11 years ago

Michuzi

Dkt. Shein afungua Maonesho ya Nane Nane Mkoani Lindi leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Maonesho ya kilimo ya nane nane kitaifa mwaka huu katika viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika Viwanja vya Ngongo yanapofanyika maonesho ya Kilimo ya nane nane kitaifa Mkoani Lindi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maonesho ya Nane Nane kitaifa yanayofanyika mkoani Lindi yafikia siku ya sita

01.

Wananchi wote mnakaribishwa kutembela banda la Wizara ya Fedha na taasisi zilizo chini yake ikiwemo UTT AMIS, Mfuko wa Pensheni PPF, GPSA na UTT PID uwanja wa maonesho ya kilimo ya Nane Nane Kitaifa Ngongo mkoani Lindi.

04

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA), Josephat Mwambega akipokea fomu ya kujiunga na Mfumo wa Amana inayotolewa na Mfuko wa Pensheni wa PPF kutoka kwa Afisa Masoko wa Mfuko huo Nelusigwe Mwalugaja wakati alipotembelea banda la Wizara ya Fedha. Wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mhe. Membe atembelea BANDA LA NMB LINDI KATIKA MAONESHO YA NANE NANE

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akiangalia bidhaa zinazozalishwa na mjasiriamali anayesaidiwa na benki ya NMB kwenye banda la Benki hiyo kwenye Maonesho ya NaneNane mkoani Lindi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akipata maelezo juu ya  bidhaa zinazozalishwa na mjasiriamali anayesaidiwa na benki ya NMB kwenye banda la Benki hiyo kwenye Maonesho ya NaneNane mkoani Lindi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa...

 

11 years ago

Michuzi

VETA KATIKA MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE VIWANJA VYA NGONGO MKOANI LINDI

Wafanyakazi na wanafunzi wa Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA kutoka vyuo mbalimbali nchini wapo katika maonesho ya wakulima nane nane yanayofanyika Kitaifa Mkoani Lindi katika viwanja vya maonesho Ngongo kilometya 17 kutoka Lindi mjini. VETA wamesheni vitu mbalimbali na mafunzo kwa wakulima na teknolojia za kisasa. Pia kuna mgahawa wa kisasa upo kibandani kwao na unatoa huduma zote za hoteli kuanzaia chakula na vinywaji vyote. SOURCE: FATHER KIDEVU BLOG Mwanafunzi wa Uashi wa VETA,...

 

11 years ago

Dewji Blog

Tigo yafunika maonesho ya Nane Nane mkoani Lindi

1

Umati wa watu waliofurika kwenye banda la Tigo Nanenane mkoani Lindi kushuhudia promosheni mbali mbali zitolewazo na kampuni hiyo.

2

Wananchi wa Lindi wakishuhudia burudani ya sarakasi iliyoandaliwa na Tigo.

3

Meneja wa Mauzo wa mikoa ya Lindi na Mtwara kutoka Tigo Bw. Daniel Maimuya akimuelekeza Afisa Kilimo wa Mkoa Bw. John Likango jinsi ya kutumia huduma ya Tigo Kilimo, huduma inayomwezesha mkulima kupata taarifa ya jinsi ya kufanya kilimo cha kisasa kupitia simu yake ya mkononi.

4

Watoto...

 

11 years ago

Michuzi

WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA YASHIRIKI KIKAMILIFU MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE KITAIFA MKOANI LINDI

Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akiwa anatembelea mabanda ya maonesho.

Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akipiga picha ya pamojanaViongozi mbalimbali waserikali katika maonyesho ya Nanenane 2014, Lindi.
Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akipokea zawadi baada ya kutembelea mabanda.Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akiwa anatembelea mabanda ya wadau.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani