TAHA ILIVYOSHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE MBEYA
Afisa kilimo Mkoa wa Mbeya (Aliyevaa tai) akipokea maelezo ya kilimo cha mboga ndani ya hema maalumu ya kuoteshea nyanya iliyowekwa na Barton Tanzania kwa ushirikiano na TAHA katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya
Afisa Kilimo na Msimamizi wa ofisi ya TAHA ukanda wa Nyanda za Juu Kusini Bw. Ringo (Mwenye Jaketi jekundu) akifafanua juu ya matumizi bora ya teknoloji za kisasa kwenye kilimo cha mboga ili kuongeza tija kwa Mkulima katika viwanja vya John Mwakangale jijini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziAZANIA BANK ILIVYOSHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE JIJINI ARUSHA
10 years ago
Michuzi
SSRA katika maonesho ya Sherehe ya wakulima (NANE NANE) Mkoani Morogoro


11 years ago
Michuzi.jpg)
Dkt. Shein afungua Maonesho ya Nane Nane Mkoani Lindi leo
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Dewji Blog07 Aug
Maonesho ya Nane Nane kitaifa yanayofanyika mkoani Lindi yafikia siku ya sita
Wananchi wote mnakaribishwa kutembela banda la Wizara ya Fedha na taasisi zilizo chini yake ikiwemo UTT AMIS, Mfuko wa Pensheni PPF, GPSA na UTT PID uwanja wa maonesho ya kilimo ya Nane Nane Kitaifa Ngongo mkoani Lindi.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA), Josephat Mwambega akipokea fomu ya kujiunga na Mfumo wa Amana inayotolewa na Mfuko wa Pensheni wa PPF kutoka kwa Afisa Masoko wa Mfuko huo Nelusigwe Mwalugaja wakati alipotembelea banda la Wizara ya Fedha. Wa...
10 years ago
Michuzi
Mhe. Membe atembelea BANDA LA NMB LINDI KATIKA MAONESHO YA NANE NANE



11 years ago
Michuzi
VETA KATIKA MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE VIWANJA VYA NGONGO MKOANI LINDI


11 years ago
Dewji Blog06 Aug
Tigo yafunika maonesho ya Nane Nane mkoani Lindi
Umati wa watu waliofurika kwenye banda la Tigo Nanenane mkoani Lindi kushuhudia promosheni mbali mbali zitolewazo na kampuni hiyo.
Wananchi wa Lindi wakishuhudia burudani ya sarakasi iliyoandaliwa na Tigo.
Meneja wa Mauzo wa mikoa ya Lindi na Mtwara kutoka Tigo Bw. Daniel Maimuya akimuelekeza Afisa Kilimo wa Mkoa Bw. John Likango jinsi ya kutumia huduma ya Tigo Kilimo, huduma inayomwezesha mkulima kupata taarifa ya jinsi ya kufanya kilimo cha kisasa kupitia simu yake ya mkononi.
Watoto...
10 years ago
Michuzi
OFISI YA WAZIRI MKUU YAENDELEA NA URATIBU WA SHUGHULI ZA SERIKALI NDANI YA MAONESHO YA NANE NANE - LINDI


11 years ago
MichuziWIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA YASHIRIKI KIKAMILIFU MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE KITAIFA MKOANI LINDI
Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akipiga picha ya pamojanaViongozi mbalimbali waserikali katika maonyesho ya Nanenane 2014, Lindi.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI