Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dr Shein atinga Bwawani

Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dr Ali Mohammed Shein ameingia ukumbu wa Bwawani kukabidhiwa form yake ya kuwa mgombea rasmi wa CCM. Akisindikizwa na wapenzi, wapanda pikipiki na viongozi kadha amekwenda na msafara mzito Vikosi […]

The post Dr Shein atinga Bwawani appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AZINDUA TAMASHA LA VIJANA BWAWANI UNGUJA,ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamd Shein akisalimiana na Viongozi wakiwemo wawekezaji Kampuni na wadau wa maendeleo wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Maonesho ya Fursa za Ajira na Uzalishaji kwa vijana “Youth Development Carrier Fair in Zanzibar”uliofanyika leo katika Ukumbi wa Salama,Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamd Shein akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Tamasha la Maonesho ya Fursa za...

 

11 years ago

Michuzi

Dkt. Shein azindua Kongamano la ajira kwa Vijana leo Bwawani Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifungua kongamano la siku mbili la Kitaifa la Ajira kwa Vijana katika ukumbi Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo. Baadhi ya washiriki katika Kongamano la Kitaifa la Ajira kwa Vijana wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

 

10 years ago

GPL

FUNDI AUWA, ATUPWA BWAWANI

Chande Abdallah na Deogratius Mongela
FUNDI ujenzi aliyefahamika kwa jina la Omari Mkulu (25) amedaiwa kuuawa na kutupwa ndani ya bwawa baada ya kudaiwa kutoweka nyumbani kwa takriban siku tatu. Mwili wa marehemu aliyefahamika kwa jina la Omari Mkulu (25) ambaye alikuwa fundi wa ujenzi. Tukio hilo lilitokea maeneo ya Mabwawa Saba, Mabibo jijini Dar ambapo majirani wa eneo hilo… ...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA MZANZIBAR SALAMA BWAWANI ZANZIBAR

Mkufunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar Bibi Mafunda Nassor Juma akimpatia maelezo Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi jinsi ya wanachuo hao wanavyojifunza upishi wa vyakula vya asili vya Zanzibar kwenye maonyesho ya uzinduzi wa Tamasha la 20 la Utamaduni wa Mzanzibari hapo Bwawani Mjini Zanzibar.Vazi lenye asili ya watu wa Kitumbatu walilokuwa wakilitumia wakati wakielekea mashambani huku mwana Mama anatembea akisuka ukili kuashiria ufundi wa utamaduni wa...

 

10 years ago

GPL

DENTI KIDATO CHA KWANZA AFIA BWAWANI!


Na Kulwa Mwaibale
MSIBA! Mohamed Juma (14) ambaye alikuwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza, Shule ya Sekondari ya Toangoma wilayani Temeke, Dar amefia bwawani wakati akiogelea.
Tukio hilo lililoacha majonzi kwa ndugu, jamaa, marafiki na wanafunzi wenzake, lilijiri Juni 26, mwaka huu, majira ya alasiri. Mwanafunzi wa kidato cha kwanza, Shule ya Sekondari ya Toangoma wilayani Temeke, Dar, Mohamed Juma (14) amefia bwawani...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CGP Minja akabidhi basi Bwawani sekondari

JESHI la Magereza nchini limeikabidhi shule ya Sekondari Bwawani basi lenye thamani ya sh milioni 120 kwa ajili ya kukabiliana na changamoto za gharama ya usafiri na juhudi ya kukuza...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Tangazo:Hakuna kulala mpaka kieleweke’ Bwawani

The post Tangazo:Hakuna kulala mpaka kieleweke’ Bwawani appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Mwananchi

Vifo hivi vya maji bwawani vingeweza kuepukika

Habari kuhusu vifo vya watoto watatu vilivyotokea kwa kuzama katika bwawa la kuogelea la Hoteli ya Landmark iliyopo Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam ni za kusikitisha.

 

10 years ago

Dewji Blog

Ridhiwani azindua vyumba vya madarasa shule ya Magereza ya Bwawani

002

Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi jengo la vyumba vya madarasa katika Shule ya Sekondari ya Bwawani katika Kijiji cha Visakazi Jimbo la Chalinze. Shule hiyo inamilikiwa na Jeshi la Magereza.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).

Ridhiwani akivishwa skafu na mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Bwawani alipowasili katika shule hiyo leo.

Ridhiwani akiwa amekabidhiwa shada la maua.

Ridhiwani akikagua gwaride la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani