Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FUNDI AUWA, ATUPWA BWAWANI

Chande Abdallah na Deogratius Mongela
FUNDI ujenzi aliyefahamika kwa jina la Omari Mkulu (25) amedaiwa kuuawa na kutupwa ndani ya bwawa baada ya kudaiwa kutoweka nyumbani kwa takriban siku tatu. Mwili wa marehemu aliyefahamika kwa jina la Omari Mkulu (25) ambaye alikuwa fundi wa ujenzi. Tukio hilo lilitokea maeneo ya Mabwawa Saba, Mabibo jijini Dar ambapo majirani wa eneo hilo… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mwanamume auwa ili kujiliwaza Brazil

Mwanamume mmoja raia wa Brazil ambaye amekiri kuwa muuaji wa zaidi ya watu 40 amesema kuwa yeye hufanya hivyo ili kujiliwaza.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanajeshi wa Rwanda auwa wenzake CAR

Askari wa Rwanda katika kikosi cha kuweka amani Jamhuri ya Afriya Kati auwa wenzake wane

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Dr Shein atinga Bwawani

Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dr Ali Mohammed Shein ameingia ukumbu wa Bwawani kukabidhiwa form yake ya kuwa mgombea rasmi wa CCM. Akisindikizwa na wapenzi, wapanda pikipiki na viongozi kadha amekwenda na msafara mzito Vikosi […]

The post Dr Shein atinga Bwawani appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA MZANZIBAR SALAMA BWAWANI ZANZIBAR

Mkufunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar Bibi Mafunda Nassor Juma akimpatia maelezo Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi jinsi ya wanachuo hao wanavyojifunza upishi wa vyakula vya asili vya Zanzibar kwenye maonyesho ya uzinduzi wa Tamasha la 20 la Utamaduni wa Mzanzibari hapo Bwawani Mjini Zanzibar.Vazi lenye asili ya watu wa Kitumbatu walilokuwa wakilitumia wakati wakielekea mashambani huku mwana Mama anatembea akisuka ukili kuashiria ufundi wa utamaduni wa...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Tangazo:Hakuna kulala mpaka kieleweke’ Bwawani

The post Tangazo:Hakuna kulala mpaka kieleweke’ Bwawani appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Tanzania Daima

CGP Minja akabidhi basi Bwawani sekondari

JESHI la Magereza nchini limeikabidhi shule ya Sekondari Bwawani basi lenye thamani ya sh milioni 120 kwa ajili ya kukabiliana na changamoto za gharama ya usafiri na juhudi ya kukuza...

 

10 years ago

GPL

DENTI KIDATO CHA KWANZA AFIA BWAWANI!


Na Kulwa Mwaibale
MSIBA! Mohamed Juma (14) ambaye alikuwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza, Shule ya Sekondari ya Toangoma wilayani Temeke, Dar amefia bwawani wakati akiogelea.
Tukio hilo lililoacha majonzi kwa ndugu, jamaa, marafiki na wanafunzi wenzake, lilijiri Juni 26, mwaka huu, majira ya alasiri. Mwanafunzi wa kidato cha kwanza, Shule ya Sekondari ya Toangoma wilayani Temeke, Dar, Mohamed Juma (14) amefia bwawani...

 

11 years ago

Mwananchi

Vifo hivi vya maji bwawani vingeweza kuepukika

Habari kuhusu vifo vya watoto watatu vilivyotokea kwa kuzama katika bwawa la kuogelea la Hoteli ya Landmark iliyopo Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam ni za kusikitisha.

 

10 years ago

Dewji Blog

Ridhiwani azindua vyumba vya madarasa shule ya Magereza ya Bwawani

002

Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi jengo la vyumba vya madarasa katika Shule ya Sekondari ya Bwawani katika Kijiji cha Visakazi Jimbo la Chalinze. Shule hiyo inamilikiwa na Jeshi la Magereza.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).

Ridhiwani akivishwa skafu na mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Bwawani alipowasili katika shule hiyo leo.

Ridhiwani akiwa amekabidhiwa shada la maua.

Ridhiwani akikagua gwaride la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani