Drama za wake zangu zimeniharibia birthday yangu – Mzee Yusuf
Muimbaji wa muziki wa Taarab nchini, Mzee Yusuf amesema Jumanne hii ameshindwa kuifurahia siku yake ya kuzaliwa kutokana na wake zake Chiku na Leila kutupiana maneno ya kashfa katika mitandao ya kijamii.
Akizungumza katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds, Mzee Yusuf alisema hajafurahishwa na tabia hiyo na endapo itaendelea atachukua hatua kali dhidi yao.
“Kwa ufupi mimi furaha sina katika siku yangu ya kuzaliwa, sina raha hata kidogo,”alisema.
“Sio vitu vizuri sifurahii huwa najaribu...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies06 Jan
Kutokana na Malumbano Yao Mitandaoni, Mzee Yusuf Asema Haya Kwa Wake Zake
Jana ilikuwa siku ya kuzaliwa Mzee Yusuf,kumekuwa na malumbano ya mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii kati ya wake zake wawili Leila na Chiku,Mzee Yusuf amesema hafurahishi na malumbano hayo…
‘’Sio vitu vizuri sifurahii huwa najaribu kuwaaambia sijui hawa wake zangu wananionaje ,pengine hawajui kuwa mimi ni mume wao hawanipi heshima yangu na hasa huyo anayetaka kufanya mambo ya vituko,binafsi sipendi na huwa sifurahii na najaribu kuwaasa tena kwenye Instagram huwa nawaambia waangalie...
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
Mzee Yusuf kutikisa na filamu
MFALME wa Muziki wa taarabu Nchini, Mzee Yusuf, anatarajia kuachia filamu yake ya kwanza mwezi huu itakayokwenda kwa jina la ‘Nitadumu naye’ ikiwa ni nyimbo iliyowahi kutamba nayo mwaka 2006....
11 years ago
GPLTUZO ZA MZEE YUSUF ZATEKWA
11 years ago
TheCitizen18 May
Diamond is No. 1, ‘seconded’ by Mzee Yusuf
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rkTNz-F-b8a0lyk3iSFzxuHC*pCKBo*JeosZENi4ro8xyA4PoDdl7e7gz2PZj0REM3JTx5FJpFQoBJcSEyZa*DNadKacJyME/BACKWIKIENDA.jpg?width=650)
BAUNSA WA MZEE YUSUF ALIVYOPIGWA RISASI
10 years ago
Mtanzania16 Jun
Mzee Yusuf: Sikuwahi kumkimbia Khadija Kopa
NA RHOBI CHACHA
MFALME wa muziki wa taarabu, Mzee Yusuf, ameibuka na kuweka wazi kwamba hakuwahi kumkimbia Malkia wa muziki huo, Khadija Kopa, anayedai kwamba amekataa kushirikiana naye katika wimbo aliotaka.
Mzee Yusuf aliongeza kwamba ameshafanya nyimbo mbili na Kopa za kushirikiana, lakini Kopa anadai nyimbo hizo walikutanishwa na mashirika yaliyotaka kazi hizo zifanywe nao na si vinginevyo.
“Unajua mie nashangaa sana hizi habari, Khadija hajawahi kuniambia tufanye wimbo wa pamoja na...
10 years ago
GPLMZEE YUSUF KUACHIA MPYA DAR LIVE
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Diamond na Mzee Yusuf kuumana Dar Live
10 years ago
Bongo520 Apr
Mzee Yusuf kumshirikisha Diamond kwenye ngoma mpya