Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dreamliner yatua Glasgow kwa dharula

Ndege kubwa ya kisasa Dreamliner ikiwa na abiria 260 imetua kwa dharula katika uwanja wa ndege wa Glasgow,nchini Scotland.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TIMU YA TANZANIA KATIKA MICHEZO YA JUMUIYA YA MADOLA YATUA JIJINI GLASGOW, SCOTLAND

 Timu ya Tanzania kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola imewasili katika  uwanja wa ndege wa Kimataifa Glasgow, Scotland jana usiku wa kuamkia leo kwa ndege ya Shirika la ndege la Falme za Kiarabu (Emirates).

 Jumla ya wanamichezo 42 waliwasili Uwanjani hapo na kupokelewa  na Afisa Ubalozi wa Tanzania London Bw. Amos Msanjila. Pamoja na mapokezi na shamrashamra za wenyeji, baadhi ya Watanzania waishio Glasgow walikuwepo Uwanjani hapo wakipeperusha bendera za Tanzania kuwahamasisha wanamichezo...

 

9 years ago

BBC

Fault may have caused Dreamliner fire

A fire on a parked Ethiopian Airlines Boeing 787 Dreamliner jet at Heathrow Airport in 2013 was probably caused by a short circuit, air accident investigators say.

 

10 years ago

GPL

Yanga yatua kwa Wawa

Beki wa Azam, Paschal Serge Wawa. Waandishi Wetu, Dar es Salaam
AMA kweli sasa Yanga imeamua kufanya yake bila ya kumuangalia mtu usoni baada ya kugonga hodi Azam FC na kuulizia huduma ya beki wake wa kati mwenye kila sifa ya kumudu majukumu yake uwanjani na roho ya ulinzi ya timu hiyo, Muivorycoast, Paschal Serge Wawa. Yanga imefikia hatua hiyo baada ya kuwepo kwa shinikizo la kocha mkuu wa timu hiyo, Mdachi, Hans van Der...

 

11 years ago

GPL

TP MAZEMBE YATUA KWA MESSI

Kiungo nyota wa Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’. Na Waandishi Wetu
MAMBO yamekucha kwa kiungo nyota wa Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’ baada ya klabu tajiri ya TP Mazembe ya Lubumbashi, DR Congo kuonyesha wazi kuwa inamtaka. TP Mazembe tayari imetuma mtu ambaye amekuja nchini kwa ajili ya kumshuhudia Messi akiichezea Simba na ameeleza nia ya klabu hiyo. Shushu huyo wa usajili wa TP Mazembe alikuwa...

 

11 years ago

Habarileo

Mapendekezo posho Bunge yatua kwa JK

Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir KifichoKAMATI iliyoteuliwa kushughulikia nyongeza ya posho kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, imewasilisha mapendekezo kwa Rais Jakaya Kikwete, ikisubiri maelekezo ya kuongezwa au la.

 

10 years ago

Mtanzania

TRA yatua kwa Chenge, Tibaijuka

1MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imetua kwa vigogo waliopata mgawo wa fedha za Escrow na kuwataka kulipa kodi ya mapato kwa mujibu wa sheria.
Maofisa wa mamlaka hiyo walikwenda kwa vigogo hao na kuwasilisha mahesabu ya kodi walizochukua Januari Mosi mwaka huu ambapo kila aliyepata mgawo huo ametakiwa kulipa fedha hizo kabla ya Januari 30.
Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam jana na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Alisema msimamo wa...

 

11 years ago

GPL

Simba yatua kwa kiungo Azam

Kiungo wa ulinzi wa timu ya soka ya Azam FC, Jabir Aziz Stima (kulia) Na Hans Mloli
USAJILI Simba unazidi kuwa na sura mpya kila kukicha baada ya sasa uongozi wa timu hiyo kuulizia huduma ya kiungo aliyeachwa na Azam FC hivi karibuni, Jabir Aziz ‘Stima’.

Stima pamoja na wachezaji wenzake, Samir Nuhu na Malika Ndeule, waliachwa na Azam baada ya kumaliza mikataba yao klabuni hapo mwishoni mwa msimu uliopita...

 

11 years ago

GPL

Yanga noma, yatua kwa ndugu wa Adebayor

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
KATIKA kuhakikisha wanafanya usajili bora, benchi la ufundi la Yanga likiongozwa na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Hans van Der Pluijm, limepanga kutua nchini Togo kwa ajili ya kusajili wachezaji. Yanga itatua Togo kwa nia ya kusajili katika nchi ambayo ndipo anatoka Emmanuel Adebayor, straika wa Tottenham ambaye aliwahi kuzichezea Arsenal na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani