Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TP MAZEMBE YATUA KWA MESSI

Kiungo nyota wa Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’. Na Waandishi Wetu
MAMBO yamekucha kwa kiungo nyota wa Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’ baada ya klabu tajiri ya TP Mazembe ya Lubumbashi, DR Congo kuonyesha wazi kuwa inamtaka. TP Mazembe tayari imetuma mtu ambaye amekuja nchini kwa ajili ya kumshuhudia Messi akiichezea Simba na ameeleza nia ya klabu hiyo. Shushu huyo wa usajili wa TP Mazembe alikuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Yanga yatua kwa Wawa

Beki wa Azam, Paschal Serge Wawa. Waandishi Wetu, Dar es Salaam
AMA kweli sasa Yanga imeamua kufanya yake bila ya kumuangalia mtu usoni baada ya kugonga hodi Azam FC na kuulizia huduma ya beki wake wa kati mwenye kila sifa ya kumudu majukumu yake uwanjani na roho ya ulinzi ya timu hiyo, Muivorycoast, Paschal Serge Wawa. Yanga imefikia hatua hiyo baada ya kuwepo kwa shinikizo la kocha mkuu wa timu hiyo, Mdachi, Hans van Der...

 

11 years ago

Habarileo

Mapendekezo posho Bunge yatua kwa JK

Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir KifichoKAMATI iliyoteuliwa kushughulikia nyongeza ya posho kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, imewasilisha mapendekezo kwa Rais Jakaya Kikwete, ikisubiri maelekezo ya kuongezwa au la.

 

10 years ago

Mtanzania

TRA yatua kwa Chenge, Tibaijuka

1MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imetua kwa vigogo waliopata mgawo wa fedha za Escrow na kuwataka kulipa kodi ya mapato kwa mujibu wa sheria.
Maofisa wa mamlaka hiyo walikwenda kwa vigogo hao na kuwasilisha mahesabu ya kodi walizochukua Januari Mosi mwaka huu ambapo kila aliyepata mgawo huo ametakiwa kulipa fedha hizo kabla ya Januari 30.
Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam jana na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Alisema msimamo wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Dreamliner yatua Glasgow kwa dharula

Ndege kubwa ya kisasa Dreamliner ikiwa na abiria 260 imetua kwa dharula katika uwanja wa ndege wa Glasgow,nchini Scotland.

 

11 years ago

GPL

Simba yatua kwa kiungo Azam

Kiungo wa ulinzi wa timu ya soka ya Azam FC, Jabir Aziz Stima (kulia) Na Hans Mloli
USAJILI Simba unazidi kuwa na sura mpya kila kukicha baada ya sasa uongozi wa timu hiyo kuulizia huduma ya kiungo aliyeachwa na Azam FC hivi karibuni, Jabir Aziz ‘Stima’.

Stima pamoja na wachezaji wenzake, Samir Nuhu na Malika Ndeule, waliachwa na Azam baada ya kumaliza mikataba yao klabuni hapo mwishoni mwa msimu uliopita...

 

10 years ago

Vijimambo

NDEGE YA AL-SALAAM YATUA PEMBA KWA DHARURA

NDEGE ya kampuni ya Al-salaam, ikiwa kwenye majani nje kidogo ya njia ya kurukia, baada ya kutua kwa dharura katika uwanja wa ndege wa Pemba, ikiwa na abiria 12, baada ya kukumbwa na hitilafu ya mashine ikiwa imesharuka juu mita 500, (Picha na Haji Nassor, Pemba

 

11 years ago

GPL

Yanga noma, yatua kwa ndugu wa Adebayor

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
KATIKA kuhakikisha wanafanya usajili bora, benchi la ufundi la Yanga likiongozwa na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Hans van Der Pluijm, limepanga kutua nchini Togo kwa ajili ya kusajili wachezaji. Yanga itatua Togo kwa nia ya kusajili katika nchi ambayo ndipo anatoka Emmanuel Adebayor, straika wa Tottenham ambaye aliwahi kuzichezea Arsenal na...

 

10 years ago

Habarileo

Kampeni ya Polisi, Voda kwa madereva yatua Arusha

KAMPENI ya kuwataka madereva nchini, kuzingatia sheria za usalama barabarani inayoendeshwa na Jeshi la polisi kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania na Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, iliyozinduliwa wiki iliyopita na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe, imeingia mkoani Arusha.

 

9 years ago

Global Publishers

Ndege ya Ufaransa yatua kwa dharura Mombasa kuhofia bomu

151220072609_air_france_624x351_reuters_nocredit

Ndege ya Air France ikiwa imetua

Mombasa, Kenya
Ndege kubwa ya abiria, Boeing 777 AF463, mali ya Shirika la Ndege la Ufaransa (Air France) iliyokuwa ikitokea Visiwa vya Mauritius kuelekea Uwanja wa Ndege wa Charles de Gaulle, Paris, Ufaransa, imelazimika kutua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Mombasa baada ya kuhofiwa kuwa ndani yake kulikuwa na bomu.
Taarifa kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, Jenerali Joseph Boinnet kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter, imeeleza kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani