Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DRFA YAIFAGILIA TEMEKE KUTWAA UBINGWA TAIFA CUP

 Chama cha kandanda mkoa wa Dar es salaam DRFA, kimeipongeza timu ya Temeke kwa kutwaa Ubingwa wa Taifa Wanawake,baada ya kuifunga Pwani kwa bao 1-0,kwenye mchezo wa fainali uliopigwa jumapili ya Januari 31 kwenye dimba la Azam Complez huko Chamazi.  Katika fainali hiyo iliyohudhuriwa na waziri mwenye dhamana ya michezo Dk.Fenella Mukangara,imeshuhudiwa Temeke ikijipatia bao lake mnamo dakika ya 66 kupitia kwa mchezaji wao Neema Paul.  Temeke walifanikiwa kutinga hatua ya fainali baada ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

TEMEKE yatwaa ubingwa TAIFA CUP

Chama cha kandanda mkoa wa Dar es salaam DRFA, kimeipongeza timu ya Temeke kwa kutwaa Ubingwa wa Taifa Wanawake, kwa bao 1-0

 

10 years ago

TheCitizen

Temeke win Taifa Cup trophy again

Temeke proved their invincibility in the National Netball Championship (Taifa Cup) after retaining their crown for the third consecutive year.

 

10 years ago

TheCitizen

Taifa Cup glory in sight Temeke girls as Kinondoni falter

>High-flying Temeke seem set to retain the Taifa Cup crown for the third time if their performance in their last four matches is anything to go by.

 

11 years ago

Tanzania Daima

DRFA yaipongeza Azam ubingwa VPL

CHAMA cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), kimeipongeza timu ya Azam FC kwa kufanikiwa kwa mara ya kwanza katika historia yake kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom...

 

10 years ago

Dewji Blog

Temeke mabingwa wa Proin Women Taifa Cup mara baada ya kuifunga Pwani katika fainali

Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo, Mh Dkt Femella Mukangara (wa pili kushoto) akiwasili katika uwanja wa Azam Complex Chamanzi wakati wa fainali ya Mashindano ya Proin Women Taifa Cup yaliyofikia Tamati leo kwa kuzikutanisha Timu za Temeke na Pwani. IMG_1261 Waziri wa habari utamaduni na Michezo, Mh Dkt. Fenella Mukangara akimkabidhi kombe nahodha wa timu ya Temeke mara baada ya kuibuka washindi wa Mashindano ya Proin Women Taifa Cup ambayo yalichezwa katika Dimba la Azam huku Proin...

 

9 years ago

BBCSwahili

Fury amchapa Klitschko na kutwaa ubingwa

Bondia Muingereza,Tyson Fury alimtamausha mshikilizi wa mataji tatu ya uzani mzito duniani Vladimir Klitschko na kutwaa ubingwa wa dunia.

 

11 years ago

Mwananchi

Nditi aisaidia Chelsea kutwaa ubingwa

>Kiungo Mtanzania anayekipiga katika klabu ya Chelsea, Adam Nditi, ameisaidia Chelsea kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya vijana chini ya miaka 21 nchini England baada ya kuitandika Manchester United mabao 2-1.

 

11 years ago

Mwananchi

Shahanga: Nilikaribia kutwaa ubingwa wa dunia

Mwaka 1983 mwanariadha wa Tanzania, Gidamis Shahanga alikamata nafasi ya tano katika mashindano ya riadha ya dunia yaliyofanyika huko Helsinki, Finland. Shahanga alishika nafasi hiyo baada ya kukimbia mbio za mita 10,000 kwa kutumia dakika 28:01:93.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani