DRFA YAZINDUA KOZI YA WIKI MBILI YA MKOCHA WA LESENI C’
CHAMA cha soka mkoa wa Dar es salaam, DRFA kwa kushirikiana na shirikisho la soka nchini TFF,leo imezindua rasmi kozi ya ukocha wa leseni C’ inayotambuliwa na shirikisho la kandanda barani afrika CAF.Kozi hiyo ya wiki mbili inaendeshwa na mkufunzi, Salum Madadi ambaye ni mkurugenzi wa ufundi wa TFF,ikiwa na jumla ya washiriki 31 wengi wao wakiwemo makocha wa vilabu vya ligi daraja la pili,daraja la kwanza na ligi kuu.Miongoni mwa washiriki hao ni pamoja na kocha msaidizi wa Simba,Suleiman...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-x498sbRNpqQ/VnK8AnGdrfI/AAAAAAAINIc/ycTXpcUqlgA/s72-c/rambirambmsibawaMadega.jpg)
MREFA YAANDAA KOZI YA LESENI C
![](http://4.bp.blogspot.com/-x498sbRNpqQ/VnK8AnGdrfI/AAAAAAAINIc/ycTXpcUqlgA/s640/rambirambmsibawaMadega.jpg)
Jumla ya makocha 46 kutoka katika kanda ya Nyanda za Juu Kusini wanatazamiwa kushiriki kozi hiyo ya wiki mbili, ambayo itaendeshwa na wakufunzi Kidao Wilfred na Salum Madadi.
Washiriki wa kozi hiyo ni Mussa Kasalika, Steven Viera, Golya, Mlekwa, Matokeo Sigalla, Ernest Nkandi,...
10 years ago
MichuziMAKOCHA 35 KUSHIRIKI KOZI YA LESENI C YA CAF
Kozi hiyo itaendeshwa na Mkufunzi wa CAF, Sunday Kayuni na itafanyikia Mchikichini College ambapo washiriki wote wanatakiwa kuwasilisha vyeti vyao vya ukocha vya ngazi ya Kati (Intermediate) pamoja na vyeti vya kitaaluma vya elimu ya sekondari (academic).
Washiriki wa kozi hiyo ni Abdulmaliki Nemes (Airport FC), Ahmed Haule...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
Kozi ya makocha leseni B yaanza Dar
MAKAMU wa Rais wa Shirikisho la Soka (TFF), Wallace Karia, jana alifungua kozi ya makocha wa soka ya Leseni B inayotambuliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Uzinduzi wa kozi...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-BNHhOvTmVBg/U8uPFTLdhSI/AAAAAAAF32c/cARAkOjckw0/s72-c/download.jpg)
KOZI YA UKOCHA LESENI A SASA KUFANYIKA AGOSTI
![](http://4.bp.blogspot.com/-BNHhOvTmVBg/U8uPFTLdhSI/AAAAAAAF32c/cARAkOjckw0/s1600/download.jpg)
Marekebisho hayo yamefanyika kutokana na maelekezo ya CAF ambayo ndiyo itakayosimamia na kuendesha kozi hiyo itakayoshirikisha makocha wenye leseni B za shirikisho hilo.
Tarehe rasmi ya kuanza kozi hiyo itatangazwa wiki ijayo. Mwezi uliopita Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa...
11 years ago
Habarileo03 May
Kozi mbili mpya zaanzishwa vyuo vya ualimu
SERIKALI imeanzisha kozi mbili mpya katika vyuo vya ualimu, ikiwemo kozi ya stashahada itakayowawezesha walimu wa shule za msingi kujiendeleza hatua kwa hatua.
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-MxTtU2TR6YM/VgFVyO8V6MI/AAAAAAABIT4/ZByST_qwwsM/s72-c/MALINZI.jpg)
MALINZI AFUNGA KOZI YA MAKOCHA LESENI C’ATOA ANGALIZO KWA WAHITIMU KUYATUMIA MAFUNZO KWA VITENDO
![](http://4.bp.blogspot.com/-MxTtU2TR6YM/VgFVyO8V6MI/AAAAAAABIT4/ZByST_qwwsM/s640/MALINZI.jpg)
RAIS wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Jamal Malinzi, amefunga kozi ya wiki mbili ya makocha lesseni C inayotambuliwa na Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) na kuwataka wahitimu hao kufanyia kazi mafunzo waliyoyapata.
Akizungumza kwenye hafla fupi ya kufunga mafunzo hayo, Malinzi amesema kuwa anasikitika kuona makocha wanapata mafunzo kama hayo lakini wanaenda kuweka vyeti vyao ‘makabatini’ na kuacha kufanyia kazi walichojifunza.
“Hiki mlichokipata kwenye mafunzo haya mnatakiwa...
10 years ago
MichuziWIZARA YA NISHATI NA MADINI YAZINDUA HUDUMA ZA LESENI KWA NJIA YA MTANDAO
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
Wizara ya Nishati na Madini yazindua rasmi mfumo wa kielektroniki wakulipia leseni za madini
Na Jacquiline Mrisho- MAELEZO
Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imezindua mfumo wa malipo ya ada za leseni za madini kwa njia ya mtandao ujulikanao kama Online Mining Cadastre Transactional Portal (OMCTP).
Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Kamishna Msaidizi wa Madini anayeshughulikia leseni Bw. John Nayopa amesema kuwa mfumo huu wa kielektroniki unawawezesha wateja waliosajiliwa kutuma maombi ya leseni, kuhakiki taarifa za leseni wanazomiliki pamoja na...