MREFA YAANDAA KOZI YA LESENI C
![](http://4.bp.blogspot.com/-x498sbRNpqQ/VnK8AnGdrfI/AAAAAAAINIc/ycTXpcUqlgA/s72-c/rambirambmsibawaMadega.jpg)
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kwa kushirikiana na Chama cha Soka Mkoa wa Mbeya (MREFA) wameandaa kozi ya makocha wa mpira wa miguu Leseni C, itakayofanyika jijini Mbeya kuanzia Disemba 21- 04 Januari, 2016.
Jumla ya makocha 46 kutoka katika kanda ya Nyanda za Juu Kusini wanatazamiwa kushiriki kozi hiyo ya wiki mbili, ambayo itaendeshwa na wakufunzi Kidao Wilfred na Salum Madadi.
Washiriki wa kozi hiyo ni Mussa Kasalika, Steven Viera, Golya, Mlekwa, Matokeo Sigalla, Ernest Nkandi,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
Kozi ya makocha leseni B yaanza Dar
MAKAMU wa Rais wa Shirikisho la Soka (TFF), Wallace Karia, jana alifungua kozi ya makocha wa soka ya Leseni B inayotambuliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Uzinduzi wa kozi...
10 years ago
MichuziMAKOCHA 35 KUSHIRIKI KOZI YA LESENI C YA CAF
Kozi hiyo itaendeshwa na Mkufunzi wa CAF, Sunday Kayuni na itafanyikia Mchikichini College ambapo washiriki wote wanatakiwa kuwasilisha vyeti vyao vya ukocha vya ngazi ya Kati (Intermediate) pamoja na vyeti vya kitaaluma vya elimu ya sekondari (academic).
Washiriki wa kozi hiyo ni Abdulmaliki Nemes (Airport FC), Ahmed Haule...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-BNHhOvTmVBg/U8uPFTLdhSI/AAAAAAAF32c/cARAkOjckw0/s72-c/download.jpg)
KOZI YA UKOCHA LESENI A SASA KUFANYIKA AGOSTI
![](http://4.bp.blogspot.com/-BNHhOvTmVBg/U8uPFTLdhSI/AAAAAAAF32c/cARAkOjckw0/s1600/download.jpg)
Marekebisho hayo yamefanyika kutokana na maelekezo ya CAF ambayo ndiyo itakayosimamia na kuendesha kozi hiyo itakayoshirikisha makocha wenye leseni B za shirikisho hilo.
Tarehe rasmi ya kuanza kozi hiyo itatangazwa wiki ijayo. Mwezi uliopita Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa...
9 years ago
Michuzi12 Sep
DRFA YAZINDUA KOZI YA WIKI MBILI YA MKOCHA WA LESENI C’
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-MxTtU2TR6YM/VgFVyO8V6MI/AAAAAAABIT4/ZByST_qwwsM/s72-c/MALINZI.jpg)
MALINZI AFUNGA KOZI YA MAKOCHA LESENI C’ATOA ANGALIZO KWA WAHITIMU KUYATUMIA MAFUNZO KWA VITENDO
![](http://4.bp.blogspot.com/-MxTtU2TR6YM/VgFVyO8V6MI/AAAAAAABIT4/ZByST_qwwsM/s640/MALINZI.jpg)
RAIS wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Jamal Malinzi, amefunga kozi ya wiki mbili ya makocha lesseni C inayotambuliwa na Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) na kuwataka wahitimu hao kufanyia kazi mafunzo waliyoyapata.
Akizungumza kwenye hafla fupi ya kufunga mafunzo hayo, Malinzi amesema kuwa anasikitika kuona makocha wanapata mafunzo kama hayo lakini wanaenda kuweka vyeti vyao ‘makabatini’ na kuacha kufanyia kazi walichojifunza.
“Hiki mlichokipata kwenye mafunzo haya mnatakiwa...
10 years ago
Michuzi30 Mar
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3rYO1fT7-a8/VMapyZS60II/AAAAAAAG_o0/ZnWy8X5VYn0/s72-c/12.jpg)
MAKALA SHERIA: HAITOSHI KUUNDA KAMPUNI, LAZIMA UWE NA LESENI YA BIASHARA, HII NI NAMNA YA KUPATA LESENI YA BIASHARA
![](http://4.bp.blogspot.com/-3rYO1fT7-a8/VMapyZS60II/AAAAAAAG_o0/ZnWy8X5VYn0/s1600/12.jpg)
Katika makala iliyopita nilisema kuwa vijana wengi wajasiriamali wanaofungua biashara za makampuni wanao uwezo mkubwa wa kufika mbali isipokuwa tatizo lao ni taarifa za mambo mbalimbali kuhusu uendeshaji wa kampuni hizo.
Mambo ya uendeshaji wa kampuni ni mepesi sana na yanawezwa na mtu yeyote isiopokuwa tatizo ni taarifa na elimu ya namna ya uendeshaji kisheria ili kampuni ionekane ni kampuni. Nilieleza...
10 years ago
Michuzi27 May
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Kozi ya urefa Mvomero Jan. 2
KOZI ya waamuzi wa soka wilayani Mvomero mkoani Morogoro, inatarajiwa kuanza Januari 2 mwakani na kushirikisha wadau mbalimbali wilayani humo. Akizungumza na Tanzania Daima hivi karibuni, Ofisa Habari wa kampuni...