Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EAC NA ECOWAS ZAONESHA MFANO, ZUMA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb) kulia akimsikiliza Balozi wa Syria nje ya ukumbi wa mikutano jijini Addis Ababa. Katikati ni Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Mhe. Naimi Aziz. Na Ally Kondo, Addis AbabaMwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Bibi Nkosazana Zuma amezihimiza Jumuiya za Kikanda barani Afrika kuiga mfano wa EAC na ECOWAS ambazo zimefikia hatua za kuridhisha katika mtangamano wa kanda zao. Alisema mtangamano ni moja ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

‘Muungano wa Tanzania mfano kwa nchi za EAC’

>Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeelezwa kuwa mfano halisi unaothibitisha uwezekano wa kuanzishwa na kudumu kwa Shirikisho la Afrika Mashariki (EAC).

 

10 years ago

Habarileo

Ndoto za Sharifu zaonesha misukosuko na utulivu 2015

Shehe Sharifu Matongo akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana kuhusu ndoto yake ambayo ameoteshwa kuelekea mwaka 2015. (Na Mpigapicha Wetu).SHEHE Sharifu Mikidadi Matongo maarufu kama Shehe Sharifu amesema kwamba ameoteshwa kuwa kuna mambo makubwa manane yatatokea katika taifa la Tanzania kwa kipindi cha mwaka huu, 2015.

 

9 years ago

BBCSwahili

ECOWAS kuitembelea Burkina Faso

Viongozi wa mataifa sita ya Afrika Jumatano hii wataitembelea Burkina Fasso kuweza kurejesha tena serikali ya mpito.

 

9 years ago

BBCSwahili

ECOWAS yapanga kupiga marufuku mtandio

Nchi wanachama wa ECOWAS zinasema mtandio wa hadi usoni umekua ukitumiwa na wanawake wanaojitoa mhanga

 

9 years ago

TheCitizen

Ecowas states to fight terrorism and insecurity

The Ecowas Authority of Heads of State and Government (HOSG) has resolved to harmonise efforts against terrorism and insecurity in West Africa.

 

10 years ago

GPL

ECOWAS YAIONYA BURKINA FASO HAITATAMBUA MABADILIKO YASIYO YA KIKATIBA

Waandamanaji wakipozi wakati wa vurugu za jana nchini Burkina Faso. Wanajeshi wakijaribu kutuliza vurugu za waandamanaji. JUMUIA ya Uchumi ya Nchi za Afrika Magharibi…

 

5 years ago

Michuzi

MATUKIO YA SIKU YA WANAWAKE WA EAC ILIVYOAZIMISHWA MAKAO MAKUU YA EAC JIJINI ARUSHA


Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki EALA akitoa mada kwenye Kongamano hilo
Meza kuu wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa
Jaji Mstaafu wa mahakama ya Rufani na Mwenyekiti Mstaafu wa TAWLA Eusebia Munuo akitoa Mada na hotuba kwenye Kongamano hilo.
Wanawake wakifuatilia mada mbalimbali kwenye maadhimisho ya siku yao inaotarajiwa kuazimishwa kesho kote ulimwenguni.
Tunafuatilia mada kwa makini
Mada zikifuatiliwa kwa umakini mkubwa kwenye Kongamano hilo la maadhimisho ya siku ya wanawake...

 

11 years ago

Michuzi

The Chairperson of the Summit of the EAC Heads of State and President of the Republic of Kenya H.E. Uhuru Kenyatta engages EAC

The Chairperson of the Summit of the EAC Heads of State and President of the Republic of Kenya H.E. Uhuru Kenyatta addresses EAC Staff as Amb Sezibera and Chair of the Council hon. Phyllis Kandie looks on
----------------------------------------------  The Chairperson of the Summit of the EAC Heads of State and President of the Republic of Kenya H.E. Uhuru Kenyatta, last evening engaged the staff of the Organs of the Community namely; the EAC Secretariat, the East African Legislative...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani