Ndoto za Sharifu zaonesha misukosuko na utulivu 2015
SHEHE Sharifu Mikidadi Matongo maarufu kama Shehe Sharifu amesema kwamba ameoteshwa kuwa kuna mambo makubwa manane yatatokea katika taifa la Tanzania kwa kipindi cha mwaka huu, 2015.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog08 Jun
VIDEO Sheikh Sharifu: Kiongozi Fisadi, Mla Rushwa na atakaetumia shiriki kutopita Uchaguzi Mkuu 2015
Shekeh Sharifu alizungumza na Waandishi wa Habari Juu ya Swala zima la Uchaguzi Mkuu 2015 na kusema kuwa Mwaka huu Kiongozi atatoka kwa Mungu Kiongozi Fisadi, Mla Rushwa na atakae Tumia Shiriki hatopita katika Uchaguzi Huu.
Sharifu amewataka viongozi wote wanaotaka kugombea basi waende wakaombewe wamegungua zoezi maalumu kuhusu maombi ya Viongozi ambao watagombea Mwaka Huu, Na kusema kuwa kiongozi yeyote ambaye atatumia shiriki hatokaa madarakani atapata ajili kutokana na mwaka huu...
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Frank Mwaisumbe: Nina ndoto kuitwaa Mbeya Vijijini 2015
10 years ago
Mwananchi05 Nov
Issa Mkalinga: Nina ndoto ya kugombea Ubunge Nachingwea 2015
10 years ago
Vijimambo27 Jan
EAC NA ECOWAS ZAONESHA MFANO, ZUMA
10 years ago
GPL10 years ago
BBCSwahili16 May
Kerry aitaka China kupunguza misukosuko
9 years ago
Bongo511 Nov
Manyika Jr na Naima wapanga kufunga ndoa, aeleza misukosuko waliyopitia
Mlinda mlango wa Simba, Peter Manyika Jr na mchumba wake Naima wanatarajia kufunga ndoa hivi karibuni.
Wawili hao wamepitia misukosuko mingi kwenye uhusiano wao ikiwa ni pamoja na kuwa kwenye hatari kuvunjika kwa uhusiano wao kutokana na shinikizo la wazazi na uongozi wa Simba.
Klabu ya Simba iliwahi kumuonya mchezaji huyo baada ya kuwashambulia mashabiki wa soka kwenye mtandao waliodai kuwa Naima ni chanzo cha kushuka kwa kiwango chake uwanjani.
Akiongea kwenye kipindi cha Uhondo cha EFM...
10 years ago
Mwananchi29 Oct
Ariel Sharon: Mpiganaji aliyekumbana na misukosuko hadi kifo chake